Simu za kiganjani!

Simu za kiganjani!

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Unapoonge kwa simu na mtu halafu unarusha rusha mikono, una mwelekeza kwa ishara na mikono utadhani yupo karibu anakuona! Mambo ya simu za mkononi bhana.


Upo mbele za watu unaongea kwa sauti kwenye simu kama mahubiri,unagongagonga meza au ukuta hata kama huna jazba.

imagesizer
 
Midadi hiyo, tema kuna wengine ukiwa jirani anakulamba mtama
 
mimi napigaga magoti nikimsalimia mtu kwa simu, nna adabu hadi najisifu
 
Back
Top Bottom