Simu za kichina.

mkuu simu za kichina hazina silence, kama huamini fanya uchunguzi utagundua, halafu wote wanaotetea simu za kichina humu ujue wanatumia, kibaya simu ya kichina huwezu kuificha
 
Ni ulimbukeni tu, na simu za mchna zilivojaa mwanjelwa sipati picha wasafwa wanavowasumbua wageni kwa michina yao.
Ina maana wewe bila kukashifu hujachangia? Comment yako sijaipenda hata kidogo. Jaribu kuwa mstaarabu katika lugha yako.
 
Hahaha poleni. Kwa mchina hapo volume iko minimal japo we unasikia kana kwamba ndo full the the the the the kwi kwi kwi
 
Usiombe ikulipukie. Joto latosha kuugeuza mchina wowote ule kuwa bomu. Naam zinaua pia.
 
Vipi kama ingekua si ya mchina?
me nakerwa sana na watu wenye tabia hiyo....hua natamani nimpe mtu earphone.!!!
 
Hizo sio tu zina redio mi nadhani kwa kelele zake zina vituo vya redio (radio stations).
 
Hiyo inaitwa radio simu.ni simu isiyoendana na maisha ya mtanzania wa kisasa na katu huezi kuta mchina anatumia hizo simu angali ya kuwa ye ndo mtengenezaji bt sie waTZ ndo tunaongoza.
 
Hizo kelele hapo volume ipo chini kabisa, sasa balaa lipo ikiwekwa kwenye vibration halafu iwe mezani, ni tetemeko la ardhi!
Usinikumbushe, nilikuwa kwenye daladala, jirani yangu simu yake ika-vibrate, jinsi nilivyotetemeshwa, usipime, yaani vibration yenyewe inasikika hata kwa aliyeko mbali.
 
Usinikumbushe, nilikuwa kwenye daladala, jirani yangu simu yake ika-vibrate, jinsi nilivyotetemeshwa, usipime, yaani vibration yenyewe inasikika hata kwa aliyeko mbali.
Ha ha ha haaah!! Yaani hizi simu ni janga aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ