Simu za batani zitapotea zitabaki tachi tuu!!!!

Simu za batani zitapotea zitabaki tachi tuu!!!!

Naomba nihitimishe Mkuu!
Kuendelea Kubishana Na wewe Ni ujinga tu ikiwa unaonyesha Dharau Na point Za kipumbavu! Kama hizi

Hapo ndiyo tofauti inapoonekana great thinker huwa wanaeleweshana ila watu wasio waelewa huwa wanabishani, nashauri jiandae kuelewa badala ya kubisha, kumbe mwenzangu ulikuwa unabisha badala ya kuelewesha I advice you change your mindset.

afu na hata katika maisha yako ukijasaidiwa utaonesha dharau sana kwa aliyekusaidia baada ya kukusogeza hatua fulani
kama unavyo wadharau watumiaji wa keypad phones Kwakuwaona ni hawana uwezo, wazee na ma house girls
lakini wote ni Ulimbukeni tu huo! Unaokusmbua!

Nakubaliana na kusaidiwa pia na kuelimishwa lakini siyo kwa mtu kama wewe, kilichoelezwa hapo ni ukweli na si dharau, wewe ndio mwenye dharau na hii inaonekana ulivyohitimisha. Pia siwajibiki kwa namna watu kama wewe wanavyotafsi na kupotosha ila ninawajibika kwa maana niliyokusudia.
Comment yangu uliyo Ni quote ilitokana na maneno yako Yale Ya Bluu! Ukiwaona Msikini wakutupwa wanaotumia Keypad Phones!

Na Cha Ajabu Zaidi! Kwako wewe Ni Huelewi Maana ya smartphones mpaka sasa unapoisoma Comment hii!

Greate thinker angetoa maana ya smartphones badala ya kuweka maelezo ambayo hayatoi maana na badala yake yanaendeleza ubishi kama ulivyosema, hapa inaonyesha ni jinsi gani ulivyombishi, muda ulitumia kuandika tungo hiyo ulitosha kuandika maana ya smartphones.

Kwa Ushauri Tu Hebu Jaribu kuwa unapo Comment toa Point zenye maana nzuri! Ila sio Kashfa na dharau za Kipumbavu unazo ziweka Hapa!

Kwa maelezo haya inaonekana ni namna gani busara yako ilivyo na mashaka, na ulivyofilisika kihoja unaanza matusi huko mimi siko na huwezi kunipeleka huko, pia kuelewa comment zako inategemeana na IQ yako (suala la point linategemeana na level ya uelewa wa msomaji, jipime uelewa wako)
Tafadhari Tafadhari Mkuu nimeona niongee hivi kutokana na mtindo wako wakujibu comments sina kawaida hii mm!
Na nnacho shukuru mleta mada kaishaelewa na sahizi hana mawazo mgando kama yako!

Soma vyema mtoa mada alikuwa anatoa observations zake na hakuhitaji kuungwa hoja au kutoungwa, kueleweshwa au kutokueleweshwa hiyo ni taarifa wala halikuwa swali, msome vizuri mtoa mada utamwelewa.

Na mpaka mimi kujaribu kumuelewesha mwanzisha mada haimaanishi mimi au WAHEED SUDAY ni watumiaji wa keypads phones au Touch phones na haitakusaidia hata ukijua!

Mi ni among Android fans Boy lakini Kwenye ukweli lazima niseme na nina keleka sana na dharau zako
[/QUOTE]
Hapa ndipo unapochanganya watu wewe mwenyewe unathibitisha kwamba ni among android fans sasa unafikiri huko kwenye physical buttan nani amebaki, yaani watu wengi wapo kama wewe anasifia sana kitu ambacho yeye hakitumie hata apewe bure.
Narudia watumiaji wa simu za physical button ni wazee, walemavu na house girls kama huamini fanya utafiti uje na majibu.
Hitimisho.
Link uliyotoa kuhusu bei ya simu fuatilia comment zao utakuja kukubaliana na mimi kwanza wachangiaji wameshangaa kwamba bado watumiaji wa simu hizo wapo, pili kuna shuhuda mmoja kasema zilionekana kitambo mlimani city lakini kwa sasa hazipo.
 
Hapo ndiyo tofauti inapoonekana great thinker huwa wanaeleweshana


Kama wewe unajiita Great Thinker na Hoja zako hizo Basi hauko sawa!

ila watu wasio waelewa huwa wanabishani, nashauri jiandae kuelewa badala ya kubisha, kumbe mwenzangu ulikuwa unabisha badala ya kuelewesha I advice you change your mindset.

nikueleweshe na madharau yako na senseless facts! May be you've psc problems i guess!

Nakubaliana na kusaidiwa pia na kuelimishwa lakini siyo kwa mtu kama wewe!

Uliisha onesha toka mda kwamba hutaki kueleweshwa na mtu kama mimi! Sawa we baki hivyo hivyo! Msubilie atakaekuelewesha!

kilichoelezwa hapo ni ukweli na si dharau, wewe ndio mwenye dharau na hii inaonekana ulivyohitimisha.

Bado unajipinga mwenyewe!
Ume wadharau vyakutosha watumiaji wa simu zenye physical keypads kwa kuwaita! Ni Hawana Uwezo, Wazee, na Ma House Girl
bado unaona siyo dharau kwako ww!

Pia siwajibiki kwa namna watu kama wewe wanavyotafsi na kupotosha ila ninawajibika kwa maana niliyokusudia.

maana ipi sasa?

Greate thinker angetoa maana ya smartphones badala ya kuweka maelezo ambayo hayatoi maana

Nashukuru umeelewa kwamba huelewi maana ya Smartphones! Ila uliandika andika tu

na badala yake yanaendeleza ubishi kama ulivyosema, hapa inaonyesha ni jinsi gani ulivyombishi, muda ulitumia kuandika tungo hiyo ulitosha kuandika maana ya smartphones.

Siwezi kukuandikia wewe ambae hauko tayari kueleweshwa na mtu kama mm!

Kwa maelezo haya inaonekana ni namna gani busara yako ilivyo na mashaka, na ulivyofilisika kihoja unaanza matusi huko mimi siko na huwezi kunipeleka huko, pia kuelewa comment zako inategemeana na IQ yako (suala la point linategemeana na level ya uelewa wa msomaji, jipime uelewa wako)

Yaani mpaka sasa huelewi bado Comments zako ulizo zitoa hapo juu zilivyo jaa Kejeli na Dharau! Hivi wewe unadhani humu ndani tu tukiachana na mtaani! Kuna watumiaji wangapi wa keypad phones!

Ila wewe baada ya kukosa Point za maana unawaita ni Hawana uwezo , Wazee na ma House Girl!

Huo ni Ulimbukeni, na Ushamba pia kaka!

Soma vyema mtoa mada alikuwa anatoa observations zake na hakuhitaji kuungwa hoja au kutoungwa, kueleweshwa au kutokueleweshwa hiyo ni taarifa wala halikuwa swali, msome vizuri mtoa mada utamwelewa.

Fuatilia comments zilivyoenda hapo juu!
Nilimwambia mtoa mada sawa ni mtizamo wake lakini anaweza akawa si sahihi!
Na akataka nitoe sababu nikampa na kanielewa sijui kama ulifuatilia Vizuri!

Hapa ndipo unapochanganya watu wewe mwenyewe unathibitisha kwamba ni among android fans sasa unafikiri huko kwenye physical buttan nani amebaki,

Mawazo yako mgando yalikutuma kwamba wanaotakiwa kutoa comment hapa ni watumiaji wa Keypad phones na hilo ndilo tatizo lako!

yaani watu wengi wapo kama wewe anasifia sana kitu ambacho yeye hakitumie hata apewe bure.

Una mawazo mgando unavyo dhani wewe mm nilikuwa nasifia Keypad phones hapa Pole sana kaka!

Narudia watumiaji wa simu za physical button ni wazee, walemavu na house girls.

Unarudia Tena Upumbavu! Acha dharau ndugu na pengine hata touch huna! Acha dharau za kipumbavu ndugu!

Link uliyotoa kuhusu bei ya simu fuatilia comment zao utakuja kukubaliana na mimi kwanza wachangiaji wameshangaa kwamba bado watumiaji wa simu hizo wapo, pili kuna shuhuda mmoja kasema zilionekana kitambo mlimani city lakini kwa sasa hazipo.

Inaonesha umekubaliana na Bei niliyokuambia! 540000/=
 
Ni mtazamo tuu. kwani siku hizi magari yenye Manual transmission hayatengenezwi tena?? this is business and you must do what customers need. kuna watu kibao wanahitaji simu za button kama wengine wanavyohitaji magari ya manual au automatic...

Ahsante...


hii inatokana na introduction ya smartphones ambazo zina operating system(os) yenye built inn softwares zinazoipa uwezo wa kutenda kazi karibu na za compyuta............watengenezaji wa simu wanajitahidi kutengeza simu zenye size ndogo ili ku2nza dhana ya mobile phone(simu ya kiganjani).....kutokana na smartphone kuwa na vi2 vingi the only solution ni kutoa batani ili kuongeza space na access to apps bila kuathili ukubwa wa simu,kugunduliwa kwa android mwaka 2007 ndo kabisaa kumeongeza kasi ya kupotea kwa simu za batani na kupelekea makampuni mengi ya simu za batan kupata hasara hivo kuhamia touch version......kwa kasi ya kusambaa kwa simu za touch naamini simu za batani hazitakuwepo miaka mingi ijayo...NI MTAZAMO WANGU!!
 
Back
Top Bottom