da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 407
- 455
hii inatokana na introduction ya smartphones ambazo zina operating system(os) yenye built inn softwares zinazoipa uwezo wa kutenda kazi karibu na za compyuta............watengenezaji wa simu wanajitahidi kutengeza simu zenye size ndogo ili ku2nza dhana ya mobile phone(simu ya kiganjani).....kutokana na smartphone kuwa na vi2 vingi the only solution ni kutoa batani ili kuongeza space na access to apps bila kuathili ukubwa wa simu,kugunduliwa kwa android mwaka 2007 ndo kabisaa kumeongeza kasi ya kupotea kwa simu za batani na kupelekea makampuni mengi ya simu za batan kupata hasara hivo kuhamia touch version......kwa kasi ya kusambaa kwa simu za touch naamini simu za batani hazitakuwepo miaka mingi ijayo...NI MTAZAMO WANGU!!