Wakati cm unaitumia ukiwa sehemu yenyejua basi mwanga wake haupotei kama cm nyingine na vioo hivi vimatumika sana katika cm za nokia za kisasa na kioo hicho ni simple tachi yaani unagusa na siyo kuganda miza
Sio kwa Nokia tu
Smartphone zilizo nyingi
Zina corning gorilla glass
Iphone was tested 3m high. I belive iphone to be more durable than any other.
Natumia iphone 4s kama yako,glass protector ni muhimu sana kwasababu kuna muda unajisahau unachanganya na funguo, hela( silva) n.k
Pia inategemea na kazi unazofanya kama unainteract na vumbi mara kwa mara kioo huwa kinapata vumbi then ukianza kutouch kinakwaluzika.
Iphone imechomwa moto mpaka ukazimika wenyewe lakini kitu kiko palepale
:confused2::confused2:!!!!!!!??????