Emmanuel S Jonathan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 389
- 292
Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana.
zilikuwa mtaa gani na bei yake ilikuwaje!??
Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana.
Chini ya 50,000 sikumbuki vizuri bei ilikuwa muda sana, na Sapna wapo Samora mjini ni duka maarufu hivi.zilikuwa mtaa gani na bei yake ilikuwaje!??
Chini ya 50,000 sikumbuki vizuri bei ilikuwa mda sana, na Sapna wapo samora mjini ni duka maarufu hivi.
Kuna kipindi zilikuwepo mjini sapna pale, ila muda sana, na bei zake kawaida sana.
Nafkiri hakuna mkuu, Jaribu tu kupitia mitandao ya simu, hasa Zantel waweza kupata rahisi zaidi.Nataka kuchukua Nokia 1.3 kwa 190000.
Je kuna simu nzuri zaidi ya hii kwa bei hii.?