Simu yenye camera nzuri na 4G network ipi?

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
606
Jamani wadau nisaidie kuchagua ninunue simu ipi yenye camera ilio nzuri na yenye network kubwa 4G. Nisaidie tafadhali mfano kama ni Samsung ni ipi aina gani?

Naombeni msaada
 
mkuu ii uki update simu inakuwaje itaendelea kufanya kazi kwa ios ya juu yake au unanunua ingine tena
Kikawaida, activation inakuwa mara moja tu. Kule Us ku unlock simu ni haki ya mmiliki wa kifaa na mitandao ya simu wanatoa hio huduma kabisa,

Sema kutegemea na exploit waliotumia unaweza ukahitaji ku activate tena kila unapo update ios.

Uzuri ni kwamba unaweza itumia multiple time kwenye kifaa chako ama hata vya watu wako wa karibu. Na zipo aina za sim ambazo unaweza kuzi update firmware incase njia ya sasa imeblokiwa.
 
sawa mkuu shukran sana, nina iphone 8 plus ina carier nita agiza iyo gavey
 
Back
Top Bottom