Asante sana mkuubei halisi ni shilingi 8000 watakuanzia juu kama 12,000 hivi so washushe.
kwenye lg g3 nafkiri charger za galaxy s5 zinaingiliana maana zilitumia soc moja, za s5 fast charging zipo nyingi sana ni vidogo vina meno mawili na juu vimeandikwa adaptive fast charging.
HahaaaNdugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.<br /><br />Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.<br /><br />Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
Hata ukiwa airplane mode wakati unachaji,inajaa fastaMkuu chaja nzuri ntumie kwenye simu ijae haraka(ambay ntaipata Tz hpahapa na sio ya kuagiza) Simu yangu ina fast charging.
Hata ukiwasha airplane mode wakati unachaji,inajaa fastaMkuu chaja nzuri ntumie kwenye simu ijae haraka(ambay ntaipata Tz hpahapa na sio ya kuagiza) Simu yangu ina fast charging.
Asante, nimefanikiwaHahaaa
Yalinikuta nitumia l8lite pia,
Angalia pembeni karibu na chini,upnde wa kulia, kuna kambonyeo kadogo sana,kapo kati ya frem ya chini na inayoshika kioo,ingiza kucha utapata upenyo wa kufungua,ikizingua nambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna tecno w5 inajaa masaa matano inatumia charger ya tecno yenye 2Amp ko hizi hazina fast charger mkuu angalau ijae upesimodel ni oraimo
usiseme 2A charger manake hata hawatajua, ipo kama hivi angalia picha
Bado haujapata charge nzuri ya J8, ukipata utajaza full kwa muda usiozidi lisaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuandikwa nje kwenye kichwa kwamba ni 2A hakumaanishi kwamba kweli ni 2A. ingia playstore kisha download app ya ampere uhakikishe kama kweli inakupa hizo 2000mA au karibu na hapo.Mkuu kuna tecno w5 inajaa masaa matano inatumia charger ya tecno yenye 2Amp ko hizi hazina fast charger mkuu angalau ijae upesi
Angalia Current Rating Ya Battery itakuongoza ni charger gani utumieHilo tatizo nilikuwa nalo kweny Tecno J8 nimebadili usb natumia ya kichina. Sshivi n chaji masaa mawili t inajaa
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
kuandikwa nje kwenye kichwa kwamba ni 2A hakumaanishi kwamba kweli ni 2A. ingia playstore kisha download app ya ampere uhakikishe kama kweli inakupa hizo 2000mA au karibu na hapo.
si unaona sasa mkuu, hio ni 0.49A haijafika hata robo ya hio 2A,
Nimejaribu cable nyingine inaenda hivisi unaona sasa mkuu, hio ni 0.49A haijafika hata robo ya hio 2A,
charger au cable itakuwa na.matatizo, jaribu waya mwengine au jaribu kutumia chaja hio kwenye simu nyengine kama utaona utofauti.
hio yenye 1000mA sio mbaya, itachukua muda mchache kuchaji tumia hio. pengine tatizo ni cable.
Hiyo pia haiko stable ilianza 1000 imeshuka mpka 150hio yenye 1000mA sio mbaya, itachukua muda mchache kuchaji tumia hio. pengine tatizo ni cable.
basi kutakuwa na tatizo mkuu labda waya umelegea pale pa kuchomekea kwenye kichwa, au chaja si nzuri etcHiyo pia haiko stable ilianza 1000 imeshuka mpka 150
Sawa mkuu unaweza nisaidia site ya kupakua hizi games gta san andrea na pes2012 ya msimu ulopita!basi kutakuwa na tatizo mkuu labda waya umelegea pale pa kuchomekea kwenye kichwa, au chaja si nzuri etc
games zote oceanofgames.comSawa mkuu unaweza nisaidia site ya kupakua hizi games gta san andrea na pes2012 ya msimu ulopita!