Simu yangu siwezi kutoa hela wala kuingiza vocha

Simu yangu siwezi kutoa hela wala kuingiza vocha

Joined
Feb 15, 2014
Posts
99
Reaction score
17
Mimi natumua simu Samsung Anycall ndiyo inavyo itwa ipo sawa na samsung nyingine tatizo ni;
1:Hauwezi kuweka vocha hadi utoe laini uweke ktk simu nyingine.
2:huwezi kutoa m pesa kwani ukiandika *150*00# inakataa.
Nnilipo peleka tatizo ktk kampuni ya voda nikaambiwa laini zote zinazo anzia na 32K huwa zinasumbua ktk simu za mtumba nikaambiwa baada ya miezi miwili nirudi ili nipewe laini inayo anzia na 64K kwa ajili ya simu yangu hadi sasa sijafanikiwa naomba mwenye kuwa na utaalam anisaidie.
 
Kwa m-pesa tumia namba hii utafanikiwa.
*150*00#
 
Back
Top Bottom