Star times wanitoa hofu kuhusu simu zao kutofungiwa na TCRA

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
906
426
HABARI STAR TIMES. ombi rangu mimi nina simu yenu iitwayo startimes panet 5 nmejaribu kuangalia imei no na kuipeleka TCRA nmeletewa ujumbe unaosema hivi... Locus Traxx Wordwide-smart Traxx Go-kama aina iliyotajwa haioani na simu yako ibadilishe kabla ya juni 2016 kwani itafungiwa, swaje je mbona hii simu yangu haioani na hapo juu sinitafungiwa msaada tafadhari.

Baada ya kuhakiki ikabidi niwafuate facebook kuwahoji, haya ndio majibu niliyojibiwa na star times; Hello, simu zetu zote hazifungwi, hivyo
usiwe na wasi wasi, karibu

SINA HOFU TENA NA SIMU YANGU HIVO POLENI SANA WENYE SIMU ZISIZO NA UHAKIKA WA KUPITA JUNE NAWAONEA HURUMA.
 
Back
Top Bottom