goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,080
- 1,409
Ni huawei y520 u22, tatizo kubwa ni kutoa notification tu. mara android stoped, mara gsm stoped hivyo tu kila wakati. nimejarib kuifnyia factory reset pamoja na hard reset lakn imeshndkana. nimeiflash bado haijasaidia. nisaidien maarifa mengne tafadhari maana hapa hakiharibik kitu.