SIMU YANGU INATOA MLIO KAMA MITA Y LUKU KILA NIKIPIGA SIMU

Expert Judgement

JF-Expert Member
May 29, 2019
442
718
Wakuu naombeni msaada leo nimekumbana na tatizo hili kwenye simu yangu kila nikijaribu kupiga inaanza kwa kutoa mlio km alarm ya luku mita afu baada ya hapo inaweka ile alama ya flight mode nabaada ya hapo simu inajizima yenyewe...
Lakini text zinaingia kama kawaida pia huduma ya internet naipata kama kawaida. Naomba kuwasilisha nikiwa na matumaini lukuki yakutatuliwa tatizo langu
Unskilled
 
Mkuu angalia isije ikawa imejiseti kwenye LUKU Mode. Kwa maana hizi simu za bei poa zinakamata hata mlio wa bodaboda.
Wakuu naombeni msaada leo nimekumbana na tatizo hili kwenye simu yangu kila nikijaribu kupiga inaanza kwa kutoa mlio km alarm ya luku mita afu baada ya hapo inaweka ile alama ya flight mode nabaada ya hapo simu inajizima yenyewe...
Lakini text zinaingia kama kawaida pia huduma ya internet naipata kama kawaida. Naomba kuwasilisha nikiwa na matumaini lukuki yakutatuliwa tatizo langu
Unskilled
 
kimeo kimepona nimekifanyia factory restoration wadau asanteni kwa ushirikiano wenu BT inabidi nitafute simu nyingine haraka sana

Back
Top Bottom