Simu yangu ina virus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu yangu ina virus

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by othorong'ong'o, Aug 4, 2011.

 1. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Simu yangu Nokia 3110c inawaka ma kuzima,nadhani inavirus make nimekua nikidownload nyimbo kutoka kwenye intanet,naombeni msaada jinsi ya kuifufua make kwa sasa alama ya nokia ikishaonekama tu inajizima na betri iko full
   
 2. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #2

 3. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Simu yangu Nokia 3110c inawaka ma kuzima,nadhani inavirus make nimekua nikidownload nyimbo kutoka kwenye intanet,naombeni msaada jinsi ya kuifufua make kwa sasa alama ya nokia ikishaonekama tu inajizima na betri iko full
   
 4. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mkuu pole,ila hizi nokia classic ndo zilivyo kidogo afadhali ile 2130c(nakwambia hivi kwa bahati nzuri nimezitumia zote) ile X-press music sasa ndo mwisho,unaitumia inaanza kuzima zima,mara files zinachelewa kuload(especially music player) then browser inaanza kusumbua(mimi browser ilisumbua ikacorrupt kabisa haikufunguka),na alivyosema mkuu hapo juu urestore factory setting haisaidii kitu,nilishaiflash sim hiyo ka mara 4,fundi wangu nilimpa jumla kama 70000/= kama ckosei,ila ilikua inapona kidogo afu yale yale. Labda kwa ushauri mkuu tafta cm nyingine 2(najua ni ngumu hizi classic zina something special but they aint worth it,matengenezo yake utanunua nyingine). Cheers
   
 5. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipeleke Kwa BABU!!!!!!!
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Fanya kitu kinachoitwa hard reset ni kama unavyoformat flash
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,813
  Likes Received: 7,149
  Trophy Points: 280
  hio ishu ya kuzima simu si virus bali ni simu kuzidiwa inajirestart itaendelea kuwepo hata ukiflash, zipo website ambazo zimetengenezwa na code zinazoweza kuidhuru simu (ikumbukwe pia simu imetengenezwa na code fulan) epuka website za pc kama simu yako ina uwezo mdogo, tumia opera mini au ucweb. Kama tatizo litaendelea nenda kwa wakala wa nokia so mafund uchwara
   
 8. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Chief umesema kweli Thanx! Simu ikizidiwa ina restart. Hata Nokia yangu E61i huwa inafanya hivyo ikizidiwa sana.
   
 9. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mkuu hiyo 3110c platform yake ni Symbian Series 40 3rd Edition hivyo kuingia Virus sidhani, hapo cha kufanya Update firmware ya simu. latest firmware ya Nokia 3110c ni V 07.30.. bonyeza *#0000# kuona firmware version ya sasa, kama ni previous version then u have to update it to

  V 07.30
  07-05-09
  RM-237

  download nokia updater software kutoka nokia.com then ufanye updates. itafuta kila kitu hivyo ni muhimu kufanya backup na Battery ya simu iwe fully chardged.nadhani baada ya hapo tatizo litakwisha..

  kuna malamiko haya juu ya Nokia 3110c.
  [​IMG]
  The Problem with Nokia 3110c &#8211; Switching off and automatically restarting
  .
  This is what happens. Nokia 3110 hangs, gets switched off and restarts randomly. More often, it restarts around 3 times or so and then gets switched off.
  Possible Causes and Solutions

  Cause 1 &#8211; Phone Memory Full &#8211; Nokia 3110c mobile phone has got 9MB of internal memory.

  Solution &#8211; Keep the free space between 350 to 500 KB, so as to keep things running smoothly on your phone and prevent Nokia 3110c from restarting.
  Cause 2 &#8211; Changing Themes &#8211; Some people have reported that the phone restarts automatically when they try changing display themes on the phone.

  Solution &#8211; Don't get your phone loaded with too many themes downloaded from the internet or atleast, don't switch themes frequently. These themes, mind you, also load up things into your already falling Nokia 3110c phone memory.
  Cause 3 &#8211; Memory Cards &#8211; Some people have reported that Nokia 3110c restarts due to some issues with the memory card.
  Solution &#8211; Remove the card, get it formatted and then insert it back and then restore factory settings. This just might solve the issue.
  Cause 4 &#8211; Transferring data via Blueooth / USB data cable (or) Updating Music Library &#8211; A few people have reported that their Nokia 3110c mobile phone restarts when updating the music library.
  Solution &#8211; Don't try updating of music library frequently or don't often transfer data in/out of your Nokia 3110c phone.
  Cause 5 &#8211; MP3 files
  Solution &#8211; This may seem dumb, but consider converting all your MP3 music files to WMA and then store them on the memory card. Some users suggested this.
  UPDATE: IT LOOKS LIKE A FIRMWARE UPDATE COULD FIX SUCH NOKIA 3110C RESTARTING PROBLEMS &#8211; RESOLVE YOUR ISSUES RIGHT NOW BY UPDATING YOUR NOKIA 3110C FIRMWARE &#8211; CLICK HERE TO KNOW HOW YOU CAN UPDATE YOUR NOKIA PHONE FIRMWARE
   
 10. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kamanda hizo classic sio kwamba ni ya jamaa tu,nimetumia hiyo sim, nimetumia pia classic 2130.na xpress music,programing yake ni moja(tofauti ni ndogo sana) na zote ziliharibika kwa mtindo mmoja huo huo ndo maana tatizo la jamaa hata silishangai! Na haya matatizo hua yanaanza kama baada ya mwaka hivi(kwa zile nilizokua nazo) na hua inaanza kama nilivyoelezea juu,inaanza kua slow hivi,inazima zima sana,ukiwasha baada ya kutoa battery inachelewa sana kuload data na kuwa tayari kutumika(unaweza sema sababu imejaa sana,ila hata uformat,uflash ikianza hivyo ni mpaka mwisho) mtoa mada anaweza kua shahidi wa baadhi ya vi2 ninavyovisema!
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  punguza installed application ktk mobile yako na hakikisha hutumii memory maana kila simu ina reccomended size of memory ila kama utaweka zaidi na ukajaza heavy files kama video na audio files utasababisha simu kuzidiwa
   
 12. c

  chriss_ndile Member

  #12
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Hata mimi simu yangu inazingua kwa kuzima baadhi ya program kama kutuma mms na games
   
 13. c

  cc_africa Senior Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu ku update via pc
   
 14. c

  cc_africa Senior Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kuapdate firmware zko kwenye web ya nokia unadownload then unatumia usb cable. Lazima uwe na internet kwnye pc yko
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama wanavyosema wengine, ni kwamba, kinachotokea ni simu kuzidiwa. Yaani ina run out of ram memory, hivyo inajizima kama mechanism ya kukujikinga na permanent freeze. Punguza mafaili kwenye simu, haswa running applications kama umedownload nyingi. Kama bado inaendelea kufanya hivyo, inawezekana kutokana na download mbalimbali ulizofanya kuna mafaili critical yamekuwa corrupted. Chakufanya ni firmware reset. Kama bado inaendelea, update hiyo firmware to the latest one kama ambavyo Brakelyn ameonesha hapo juu. Kama inaendelea kusuasua, hiyo itakuwa na tatizo la hardware. Kauze kama spare au peleka kwa fundi kama ataweza kuitengeneza!! Good luck!!!
   
 16. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  s40 mobile does not support viruses_____--INSHORT nishamiliki hiyo simu kinachoitajika usiweke apps,themes etc kwenye phone memory kozi ikiji overload huwa inajirestart so kama phonememory iko full no waay out ya kufuta mpaka kuupdate firmwire au kuflash>>>lakini kama iyo memory card iko full unaichomoa tu afu unawasha bila memory card by the way iikipona ujifunze hiloooo
  ******************************ITS TRUE**COPYIED FROM ABOVE**********************************

  mkuu hiyo 3110c platform yake ni Symbian Series 40 3rd Edition hivyo kuingia Virus sidhani, hapo cha kufanya Update firmware ya simu. latest firmware ya Nokia 3110c ni V 07.30.. bonyeza *#0000# kuona firmware version ya sasa, kama ni previous version then u have to update it to

  V 07.30
  07-05-09
  RM-237
  download nokia updater software kutoka nokia.com then ufanye updates. itafuta kila kitu hivyo ni muhimu kufanya backup na Battery ya simu iwe fully chardged.nadhani baada ya hapo tatizo litakwisha..

  kuna malamiko haya juu ya Nokia 3110c.
  [​IMG]
  The Problem with Nokia 3110c &#8211; Switching off and automatically restarting
  .
  This is what happens. Nokia 3110 hangs, gets switched off and restarts randomly. More often, it restarts around 3 times or so and then gets switched off.
  Possible Causes and Solutions

  Cause 1 &#8211; Phone Memory Full &#8211; Nokia 3110c mobile phone has got 9MB of internal memory.

  Solution &#8211; Keep the free space between 350 to 500 KB, so as to keep things running smoothly on your phone and prevent Nokia 3110c from restarting.
  Cause 2 &#8211; Changing Themes &#8211; Some people have reported that the phone restarts automatically when they try changing display themes on the phone.

  Solution &#8211; Don't get your phone loaded with too many themes downloaded from the internet or atleast, don't switch themes frequently. These themes, mind you, also load up things into your already falling Nokia 3110c phone memory.
  Cause 3 &#8211; Memory Cards &#8211; Some people have reported that Nokia 3110c restarts due to some issues with the memory card.
  Solution &#8211; Remove the card, get it formatted and then insert it back and then restore factory settings. This just might solve the issue.
  Cause 4 &#8211; Transferring data via Blueooth / USB data cable (or) Updating Music Library &#8211; A few people have reported that their Nokia 3110c mobile phone restarts when updating the music library.
  Solution &#8211; Don't try updating of music library frequently or don't often transfer data in/out of your Nokia 3110c phone.
  Cause 5 &#8211; MP3 files
  Solution &#8211; This may seem dumb, but consider converting all your MP3 music files to WMA and then store them on the memory card. Some users suggested this.
  UPDATE: IT LOOKS LIKE A FIRMWARE UPDATE COULD FIX SUCH NOKIA 3110C RESTARTING PROBLEMS &#8211; RESOLVE YOUR ISSUES RIGHT NOW BY UPDATING YOUR NOKIA 3110C FIRMWARE &#8211; CLICK HERE TO KNOW HOW YOU CAN UPDATE YOUR NOKIA PHONE FIRMWARE​
   
Loading...