Simu yangu ina tatizo gani?

Kumbe TCRA ni waungwana sana! Umeachiwa saa, tochi, hadi calculator! Kweli Tanzania ni nchi ya upendo.
Nchi ya upendo kweli hii na bila shaka pia watanirudishia 'gharama' zangu
 
Kweli mchina kawashika wengi,yaani wewe ulipoona imeandikwa Nokia tena kwa elfu20 ukanunua fasta,pole sana vya bei rahisi vina madhara.
Nilijitamba sana na kujua mtaa mzima utazimiwa lakini mimi nitabaki sababu nina brand ya kueleweka tena ya mwanzo mwanzo
 
huto tusimu mbna habar zilienea sana kwamb ni tuoriginal, imekuaje tena
Nahisi wamezima kimakosa mkuu, haiwezekani ngoja niwasiliane nao japo naweza pata neno la kunifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…