Simu yangu haitoi sauti naomba msaada tafadhali

Simu yangu haitoi sauti naomba msaada tafadhali

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,892
Reaction score
52,491
Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizo,simu ni mpya kabisa aina ya samsung galaxy ace, tatizo kubwa nikipigiwa/nikipiga simsikii mtu wa upande wa pili.

Pia internet ipo slow sana, na line hiyohiyo nikiiweka kwenye simu nyingine internet inakua ipo fasta.

Nisaidieni nifanyeje ?
 
Back
Top Bottom