nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,909 Dec 24, 2012 #1 simu yangu ni Samsung galax model number ni 15800. Tatizo ninapotaka kuangalia baadhi ya ninaambiwa lazima iwe na frash player na nikijaribu kuidownload naambiwa 'sory your device does not support frash player'. Naombeni msaads wenu
simu yangu ni Samsung galax model number ni 15800. Tatizo ninapotaka kuangalia baadhi ya ninaambiwa lazima iwe na frash player na nikijaribu kuidownload naambiwa 'sory your device does not support frash player'. Naombeni msaads wenu
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Dec 24, 2012 #2 Kwa sababu ya udogo wa processor ya hiyo simu haikuwahi kuwa supported kucheza flash. Na adobe wameacha kussuport flash kwa mobile devices siku hizi.
Kwa sababu ya udogo wa processor ya hiyo simu haikuwahi kuwa supported kucheza flash. Na adobe wameacha kussuport flash kwa mobile devices siku hizi.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,279 Reaction score 44,416 Dec 24, 2012 #3 mkuu labda ungesema ulitaka ufanye nini ungeweza pewa alternative kama ipo. Sasa ni zama za html5 hamia huku kwetuuuuu
mkuu labda ungesema ulitaka ufanye nini ungeweza pewa alternative kama ipo. Sasa ni zama za html5 hamia huku kwetuuuuu