Simu yangu haikai na charge,msaada tafadhali!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Natumia Nokia N72,tatizo ni kwamba hii simu haikai na charge,ni siku moja tu inaisha,na betri na orijino kabisa. Matumizi yangu makubwa ni INTERNET,ambapo naperuzi mitandao ya kijamii kama facebook na JF,na mara chache nadownload nyimbo na pdf files mbalimbali.Nimewahi kujaribu hata kuacha kutumia internet lakini tatzo ni lilelile,mwenye kujua tatizo anisaidie,kama ni simu au la!
 
Unataka ikae na chaji siku ngapi arif?
 
Pole!, ama ulichaji na kobe au charger isiyo yake hivyo umeikaanga betri ya simu yako!. Dawa ni kununua battery nyingine! Mchina 5,000 au original 20,000!.
 
Sijawah kucharge kwa kutumia kobe,na sielewi unamaanisha nini kusema nimecharge kwa charge isiyo yake,kwani charger za nokia zinatofautiana nini? Huwa natumia orijino nokia charger.
 
Angalia application za simu yako, lazima kwenye sehemu iliyoandikwa displays inakula charge nyingi, switch off some applications zisizo na umuhimu itasaidia kuongeza muda wa kukaa na charge, pia angalia sehemu nyingine kwenye settings utakuta muda wa kuzima displays inachukua muda mrefu kabla haijajizima, nayo rekebisha unaweza kuweka sekunde 15 hivi!! Hizo ni steps za mwanzo nilizokupa, unaweza kuendelea kupata zaidi kwa wadau wengine.
 
angalia pia Ukiwa tatu g unakunywa chaji sana, pia waweza bana betry na kitu kama karatasi coz me ilikuwa inakaa na chaja mara izimike nilivyoweka karatasi ikawa Poa mpaka Leo haijazimika walachaji haiishi kimagumashi, na full time WiFi ipo on au tatu g , application nazenyewe zinakuwa zina run as usual watsup, fb, teamview na Skype.
 
Natumia Nokia N72,tatizo ni kwamba hii simu haikai na charge,ni siku moja tu inaisha,na betri na orijino kabisa. Matumizi yangu makubwa ni INTERNET,ambapo naperuzi mitandao ya kijamii kama facebook na JF,na mara chache nadownload nyimbo na pdf files mbalimbali.Nimewahi kujaribu hata kuacha kutumia internet lakini tatzo ni lilelile,mwenye kujua tatizo anisaidie,kama ni simu au la!

Bora yako me yangu haimaliz masaa5 isha isha hadi nimeamua nikiwa net nakuwa nimechomeka charg
 
mimi nadhan kama unakaa online 24/7 kwa mfano kama una whatsapp kwenye cm na apps nyngne znazo fanya cm iwe ina access net all time ukaongeza na ku surf social networks hata kama betry la simu ni zuri kias gan lazma simu ikae na chaji siku mmoja tu. Hata mm ya kwangu iko hivyo
 
kuna betri zinaitwa EXCELLENT NI PM NIKUPATIE MOJA KWA BEI YA 20000 HIYO NI MWISHO WA MATATIZO, TWO CONSECUTIVE DAYS NA CHARGE FULL INTERNET
 
Angalia application za simu yako, lazima kwenye sehemu iliyoandikwa displays inakula charge nyingi, switch off some applications zisizo na umuhimu itasaidia kuongeza muda wa kukaa na charge, pia angalia sehemu nyingine kwenye settings utakuta muda wa kuzima displays inachukua muda mrefu kabla haijajizima, nayo rekebisha unaweza kuweka sekunde 15 hivi!! Hizo ni steps za mwanzo nilizokupa, unaweza kuendelea kupata zaidi kwa wadau wengine.

asante,nilishawahi kufanya mambo kama kuondoa vibration,kupunguza displays,nikapunguza brightness lakini bado tu!
 
Natumia Nokia N72,tatizo ni kwamba hii simu haikai na charge,ni siku moja tu inaisha,na betri na orijino kabisa. Matumizi yangu makubwa ni INTERNET,ambapo naperuzi mitandao ya kijamii kama facebook na JF,na mara chache nadownload nyimbo na pdf files mbalimbali.Nimewahi kujaribu hata kuacha kutumia internet lakini tatzo ni lilelile,mwenye kujua tatizo anisaidie,kama ni simu au la!
Hiyo battrey yako ni nzima, na inakaa charge sana.matumizi ya INTERNET yanakamua betry ile mbaya! ukitaka kuhakikisha acha kutumia NET halafu uone itakaa siku ngapi? me naona wala usihangaike.
 
Haujasoma thread yangu vizuri,nimeshawahi kuacha bila kutumia INTERNET lakini tatizo liko palepale!
 
Hiyo battrey yako ni nzima, na inakaa charge sana.matumizi ya INTERNET yanakamua betry ile mbaya! ukitaka kuhakikisha acha kutumia NET halafu uone itakaa siku ngapi? me naona wala usihangaike.

Hasa screen. kama ni kubwa lazima inywe charge. kuanzia inch 3.5 Kupanda ni disaster
 
restore factor setting kwa kuingia kwenye security ingiza password ambayo ni 12345 then ok uchek kama inakaa na chaji au ingia kwenye ovi store utakuta app' ambazo zina ongeza uhai wa betri.
 
Back
Top Bottom