Wakuu heshma kwenu,!
Simu yangu alcatel 5023F imezingua haiingizi charge na kuna notification inayosema "Phone is charging out now" charge inazidi kuisha na sijui la kufnya !
Tafadhali sana wenye ujuzi na hili natarajia masaada wenu na mola wenu mkarimu atawabariki sana!