habarini wadau nimekuwa nikibadili ROM mara kwa mara kwenye sim yangu samsung gt 5301 lakini jana nilipojaribu kuweka rom (alpha rom) simu inaganda kwenye kwenye picha inayoonyesha model na jina la simu (hata ile logo ya samsung haitokei)nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini maana hii rom nilishawai itumia hapo nyuma ila tatizo limeanza mara baada ya kubugi nikainstall custom rom ya vodafone 875.naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie kutatua hili
Case kama hii ni ya kawaida sana, kikubwa ingia kwenye recovery fanya full wipe, hapa namaanisha System, cache, dalvik cache, cust na nyingine. Kasoro SD Card. Then install ROM yako iliyo katika zip format. Na ukimaliza wipe cache na dalvik cache. Kisha reboot. Tatizo likiendelea jaribu kuflash stock kama alivyosema Chief-Mkwawa hapo juu.habarini wadau nimekuwa nikibadili ROM mara kwa mara kwenye sim yangu samsung gt 5301 lakini jana nilipojaribu kuweka rom (alpha rom) simu inaganda kwenye kwenye picha inayoonyesha model na jina la simu (hata ile logo ya samsung haitokei)nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini maana hii rom nilishawai itumia hapo nyuma ila tatizo limeanza mara baada ya kubugi nikainstall custom rom ya vodafone 875.naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie kutatua hili
inakuwaje pale hata recovery mode haiji inawezelana kwenye downloading mode pekee?Case kama hii ni ya kawaida sana, kikubwa ingia kwenye recovery fanya full wipe, hapa namaanisha System, cache, dalvik cache, cust na nyingine. Kasoro SD Card. Then install ROM yako iliyo katika zip format. Na ukimaliza wipe cache na dalvik cache. Kisha reboot. Tatizo likiendelea jaribu kuflash stock kama alivyosema Chief-Mkwawa hapo juu.
Kama kuingia recovery mode kumeshindikana, it means recovery imecorrupt. Kwa hiyo cha kufanya flash stock rom kwanza, na kama utakuwa interested kuinstall custom rom tena, then fanya process ya rooting upya na uinstall recovery then Custom ROM.inakuwaje pale hata recovery mode haiji inawezelana kwenye downloading mode pekee?
Kama kuingia recovery mode kumeshindikana, it means recovery imecorrupt. Kwa hiyo cha kufanya flash stock rom kwanza, na kama utakuwa interested kuinstall custom rom tena, then fanya process ya rooting upya na uinstall recovery then Custom ROM.
Cha kufanya:
1, Download Stock ROM file kutoka mrcrab.net
2, Download Odin
3, Download Samsung USB Drivers
4, Install Samung USB drivers
Chaji simu yako vizuri. Ama hakikisha ina chaji ya kutosha. Ingia "Download Mode" kisha kwenye PDA button chagua stock ROM yako ambayo mara nyingi ipo katika format ya .md5 au .tar kisha untick REPATITION then click flash, subiri mpaka imalize kisha reboot simu yako.
mkuu mbona nime download lkn kwenye PDA nakuwa sizioni?
halafu ninaona zipo kwenye zip file?
mkuu nlichoka baada ya kudownload file LA 200mb halafu linasema halifunguki hata kwenye downloading list halipo......ngoja nijarbu tenaextract zip utapata file la md5 hilo ndio la odin. hope unayo winrar.
na kama ukiextractt zip ndani kukawa na file ambalo odin hailioni ujue hilo file limekuwa packed ili litumike kwenye recovery na sio odin.
pia naomba niulize ni stock rom ipi niichague maana kwenye net napata list ya stock rom zaidi ya 5 sasa nashindwa ipi niichague na zote ni kwa ajili ya simu yangu (samsung gt 5301)
extract zip utapata file la md5 hilo ndio la odin. hope unayo winrar.
na kama ukiextractt zip ndani kukawa na file ambalo odin hailioni ujue hilo file limekuwa packed ili litumike kwenye recovery na sio odin.
Kwan chief mkwawa... Kama sim haimalizii kuwaka unaweza kuflash kwa custom rom?
Hatimaye nimefanikiwa kuifufua simu yangu nashukuru kwa misaada yenu wadau.
Chief.dremchaser shukran
LAKINI pamoja na kusolve hili nimeibua tatizo jingine baada ya kuingia kwny recovery mode nikafanya sd partition matokeo yake memory card yangu imepungua size toka GB 8 sasa hv ina GB 3 tu.naomba msaada kwa hili tatizo jipya