Simu ya wife

Mnunulie redio kolu, hiyo ndio suluhisho la tatizo lako la upekuzi wa simu ya mkeo
 
Pole sana kaka.ukiona watu adi wanafika uzeeni wakiwa kwenye ndoa wamepita mengi.
 
Nisije nikalishwa mikwaju na mikanda nikarudishwa kwetu kaskazini..na hivi hawapokeagi mtu ntakua mgeni wako,
he he he, afu namba yangu nimesajili Hamis A. Juma.
 
Hakika,mpaka amekuwa na ujasiri wa kum-save 'mme wangu' basi ujue kuna vingi ana provide huko pengine zaidi ya anavyokupa wewe,hana uoga! Zungumza nae,let her know kuwa umeshajua...atakachokujibu kita-determine maamuz yako whether kuendelea nae au kuachana nae.
Ila kama utafanya maamuz ya kuachana nae then itabd ushirikishe wazee.
 
Mawazo mengine MH.... Usipomjali anamfuata Ommary wanajinafasi vilivyo; Kipigo unaweza kuua ukafia jela; Kutoibanjua k ni green light ya Ommary kujilia bila matatizo. Machungu yapo ni vyema akazidisha upendo kwa mke wake na kama ni kutafuta viagra aitafute mapema. Mwanamke hapigwi kwa fimbo bali (utajaza mwenyewe).
 
Kweli mkeo ninja yani na ukute wewe ujakusave kama huyo mzee wa dushe..ila sio mbaya ukachukua simu yake ujibip unaweza ukaambulia mmewangu2.,
 
 
Hizi zinaweza kua kamba tu,ctaki kuamini kua mke wako anaweza kuwa na mchepuko akathubutu kuusave "mmewake" kwa nadharia ya ww kutoshika simu yake,inawezekana basi ww ndo mchepuko na huyo jamaa ndo mme wake,au kuna mtu aliiba simu yake akasave hivyo ili ukiiona amuharibie,bt all in all u ar a man brother thnk twice bfore acting!
 
Wanawake wanatabia ya kuitana ''dear'' na wanawake wenzao. Huenda huyo Ommy A ni demu mwenzie. Tuliza munkari kijana!

umeongea point kubwa sana ila sio mahala pake,ndio tunatabia ya kuitana dear,honey,sweetheart lakini mpaka kuserv mme wangu tena ni omary hmm hapana aisee
 
Naweza kukuazima kile cha kibindoni ukimaliza nacho kazi please nirudishie! Kova akijua ataniua!
 
 
Last edited by a moderator:

Naogopa kuchepuliwa na omari... ngoja nisajili namba nyingine nimpigie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…