Simu ya Techno inagoma kukonnect internet na Samsung iPad tatizo Nini?

Simu ya Techno inagoma kukonnect internet na Samsung iPad tatizo Nini?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Kuna mtu anahangaika kukonnect Simu yake isomane na Samsung tablet ili asomee internet kwenye tablet Simu ya Techno F2 haitaki kusomana afanyaje? Kwenye komputa Simu na komputa zinasomana na internet inakubali ila kwenye tablet inagoma.Wataalam msaada tafadhali
 
Samsung Tablet.

iPad ni bidhaa ya kampuni ingine apple.
 
Unaleta siasa hadi kwenye vitu vya msingi mkuu??

Si useme tu kuwa ni wewe usaidiwe vizuri.
 
Unaleta siasa hadi kwenye vitu vya msingi mkuu??

Si useme tu kuwa ni wewe usaidiwe vizuri.
Sina ningekuwa nayo ningeita tablet Mimi najua hayo madude bapa ni iPad.Nimepost baada ya kuona mtu anahangaika nalo nikaona nijaribu humu msaada kwenye tuta
 
Angalia kwenye access point names
Kwa maelezo yake tatzo sio APN,Shida hapa ipo kwenye sharing(tethering and mobile hotspot) kati ya hizo 2 devices, maana kasema Kweny computer inakubali, cha msing ahakishe ame allow All devices to connect pande zote, pia bila kukosea password

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom