Simu ya smart phone yenye 4G support ukiweka simcard ya tgo4G au Halotel ipi inakua kasi net

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wale wenye uzoefu na izi smart phone na atufafanulie hapo Kati ya laini ya tigo na halotel ipi inapasua kwa kasi intenert? Ukiweka kwenye Simu yenye uwezo wa 4G?
 
Hallotel kboko yao ata ...kwangu mm hallotel naipa namba 1 kwa upande wa speed ya internet...wako vzur...natumia 3g ...lkn na stream live football game online bila kukwama...
 
Hallotel kboko yao ata ...kwangu mm hallotel naipa namba 1 kwa upande wa speed ya internet...wako vzur...natumia 3g ...lkn na stream live football game online bila kukwama...
Mimi sim yangu ni 4G model ila nimeweka halotel net inapasua Hatari nilifikiri kuweka ya tigo koz tgo wapo 4G
 
Simcard yenye 4g ukiweka kwenye smartphone ambayo haisupport 4g halafu uko eneo ambalo net ya 4g inakamata vizuri,je itaonyesha h+ au 4g!
 
mkuu inategemea na eneo, signal za hio 4g, idadi ya watu, etc

ila kikawaida 4g ina speed kama mara tatu hivi ya 3g kwa experience ninayoiona Tanzania,

hapa nilipo natumia 4g ya voda napata kama 40mbps hivi na nikiwa nyumbani Tanga kwenye router napata around 30Mbps tigo 4g.

kwanini usitafute simu ya 4g ukapima mwenyewe? omba hata kwa jirani kupima speed ni kitendo cha dakika 1 tu.

kwa pc ingia speedtest.net na kwa simu ingia playstore download app ya speedtest
 
4G mwisho wa reli mzee app ya mb 50 sec 30 hii ni hatari halotel haliwezi hilo
 
Wote waliokujibu 3G ya halotel ni better than 4G ya tigo hawana simu zinazosupport 4G.
Natumia zote halotel 3G na tigo 4G mpaka sasa line ya halotel nmeizima maana speed ya 4G si mchezo....
 
Back
Top Bottom