Simu ya kwanza isiyo tumia waya

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,037
20,333
IJUE SIMU YA KWANZA ISIYO TUMIA WAYA(wireless).

Motorola ndo simu ya kwanza kutengenezwa isiyo tumia waya ukiachana na simu ya kwanza iliyo vumbuliwa na Alexander Graham Bell.

Motorola ilitengenezwa tr 3-4-1973 na Martin Cooper huko Schaumburg Illinois, Chicago, USA. Ikiwa na uzito wa 2kg ikichajiwa kwa masaa 12 na kukaa na chaji nusu saa(½hour).

Mgunduzi wa simu hii alizaliwa 26-12-1928 huko Schaumburg Illinois, Chicago, USA akiwa na umri wa miaka 45 na akiwa na elimu ya PhD ndo alipo igundua simu hii.

Na Emmanuel Kasomi
 
Uzito sio ishu, ishu ni kuchajiwa masaa 12 ila inakaa nusu saa 😹😹
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom