Kwa ndoa za siku hizi zimekuwa na michepuko ming
Watu sii waaminifu...tabia za zimebadilika kila mtu anapenda usiri kwa maana sii waamifu
Na hili ni tatizo ule upendo na kusema tuu mwili mmoja kwa ndoa nyingi ni uongo
Nimegundua inasaidia, huwezi amini mimi ndo mara ya kwanza kuugumia...tangia niijue jf huu uzi hata sikumbuki ni mara ya ngapi kujirudia...
Wanawake wa Leo wanasema ahadi ile ni maneno tuu na wengine hutamka bila kuelewa wakisemacho
Sio ivo, anataka Uhuru gani? Anapaswa kuomba ruhusa kuitazama simu yako. Like "samahani Mme/Mke wangu, naweza tazama au tumia simu yako kwa muda huu"?
Sio wanawake hat wanaume pia na kumbuka baba ndo kichwa cha familia
Ndoa siku hizi nyingi ni jina tuu kila mtu ana yake na usiri wake
Kikubwa kama unaona mwenzio anafanya Yale majukumu yake hakuna dalili za michepuko mshukuru Mungu na usipekue simu yake cos unaweza haribu furaha yako ya maisha
Na kama ni hawara au mchepuko usijaribu kupekua kabisa utaweza kupoteza maisha
Na ikitokea labda mumeo yako anakagua na password anataka kujizua ukikataa yupo tayari hata kukupa mkong'oto lakini ya kwakwe usiguse tena ukitaka ugomvi gusa simu yake napo hapo unaona ni sawa
Na ikitokea labda mumeo yako anakagua na password anataka kujizua ukikataa yupo tayari hata kukupa mkong'oto lakini ya kwakwe usiguse tena ukitaka ugomvi gusa simu yake napo hapo unaona ni sawa
Unaheshimu na kutii.... sio kila ombi ni ndio. Hapana ni kwa usalama wako
Weeeee wanaume wengi mkuki mtamu kwa nguruwe simu zao password kila kona kuifungua password sms , wassap duu mbona utachoka na kichapo utachezea
Hapaswi chukua simu yako kibabe hata km kakununulia