Simu Tecno L9+ batan zake zimestak.

mwanya2

Member
Jul 21, 2015
94
49
Naombeni mwenye ujuzi anisaidie , simu ilikuwa nzima ilizima charge baada ya kuicharge ilipowashwa batani zake zote 3 za chini hazifanyi kazi, lakini tarch yake inafanya kazi bila shida. Mwenye kujua nn tatizo anisaidie.
 
Tecno tena
 
Tumia Soft Keys- Home Back Button App. Ingia Play Store zipo nyingi tu mkuu.
 
Naombeni mwenye ujuzi anisaidie , simu ilikuwa nzima ilizima charge baada ya kuicharge ilipowashwa batani zake zote 3 za chini hazifanyi kazi, lakini tarch yake inafanya kazi bila shida. Mwenye kujua nn tatizo anisaidie.
nicheki 0754604567
 
Back
Top Bottom