Habari wana Jamii Forums naomba msaada mwenye kujua nina simu mpya ya Samsung S8 inashika network ya Tigo na Voda lakimi haushiki Halotel ambao ndo mtandao ambao uko available sehemu ninayoishi.
Unakuta inashika network inaandika h+ lakin ukisearch kitu hakiji mfano Youtube haifunguki hata ukidownload kitu hakiji. Lakini nina J7 Prime nikiweka hiyo line ya Halotel inashika within sekunde moja na iko faster.
Sasa ni jinsi ya kuset ama ni nini msaada tutani
Sent using Jamii Forums mobile app