Simu Samsung Galaxy S8 haishiki mtandao wa Halotel

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
245
Habari wana Jamii Forums naomba msaada mwenye kujua nina simu mpya ya Samsung S8 inashika network ya Tigo na Voda lakimi haushiki Halotel ambao ndo mtandao ambao uko available sehemu ninayoishi.

Unakuta inashika network inaandika h+ lakin ukisearch kitu hakiji mfano Youtube haifunguki hata ukidownload kitu hakiji. Lakini nina J7 Prime nikiweka hiyo line ya Halotel inashika within sekunde moja na iko faster.

Sasa ni jinsi ya kuset ama ni nini msaada tutani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni net mkuu, naona 3g ndo haishiki kwa mitandao yote inashika 2g na 4g maana ikirudi 2g siwezi ku acses net japo naweza kupiga lkn ikifika 3g hauwezi fanya chochote hata kupiga ilabikifika 4g unafanya kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivi mkuu kuna uwezekano mkubwa Hio simu yako ni Tmobile ama ile mitandao ya Cdma kama sprint na Verizon.

Haishiki 3g sababu Tmobile wanatumia 3g band 1700 ambayo ni ya kwao tu hakuna mtandao wa Bongo wenye hio band. Haishiki 3g pia inawezekana sababu origin yake ni Cdma, Kwa Tanzania mitandao ya Cdma ilikuwa ni Zantel, Ttcl na Sasatel, zantel na Ttcl wameshazima Mitambo na Sasatel walishafilisika.

4g ya Tigo na Voda inashika sababu Band zake ni common 800 na 1800 na Halotel haishiki sababu Band yake ni 2600 haipo vifaa vingi.

Zima simu kisha washa kwa kushikilia power button na kupunguzia sauti pamoja na bixby button simu itaingia kwenye download mode,

samsung-g950f-galaxy-s8.jpg


soma model ya simu kisha iweke hapa.
samsung-g950f-galaxy-s8.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom