Simu namba +888888888888 au +65888888

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
182
Salamu wadau,
Jamani naomba kuuliza, kuna mtu yeyote anajua lolote kuhusu namba hizo?
Binafsi nimepigiwa mara kadhaa na sikupata ujasiri wa kuzipokea
Tafadhari tusaidiane.
Asante
 
Salamu wadau,
Jamani naomba kuuliza, kuna mtu yeyote anajua lolote kuhusu namba hizo?
Binafsi nimepigiwa mara kadhaa na sikupata ujasiri wa kuzipokea
Tafadhari tusaidiane.
Asante

Ni kampuni ya Asia wako bize wnatafuta wateja kuwafanyai trainings n.k. Halafu ni ving'ang'anizi, they seem not to understand a no.
 
Namba hizo mara nyingi ni mtu anayetumia Skype kukupigia, kwani hata mimi natumia skype wakati mwingine na nikimpigia mtu kuna wakati kwake inaonyesha hizo 88888888
 
ndo sheitwain ana kubeep jombaa si unajua leo ndo mwisho wa dunia so anakupa hi kabla hujatua kwake
 
au kuna mtu anakupigia from mbinguni amekuwekea front seat.pokea usikilize bana,si unajua mwisho leo
 
Salamu wadau,
Jamani naomba kuuliza, kuna mtu yeyote anajua lolote kuhusu namba hizo?
Binafsi nimepigiwa mara kadhaa na sikupata ujasiri wa kuzipokea
Tafadhari tusaidiane.
Asante

Mimi nilishawahi kupigiwa mara kwanza nilipokea lakini simu ilikuwa kimya upande wa pili, mara nyingine hivyo hivyo, nilipiga customer service ya airtel wakasema hawajui nawala kwenye mashine yao haionekani kama kuna simu ya namna hiyo iliyoingia kwanye namba yangu, hivyo wanashangaa nilichowaambia
 
Back
Top Bottom