mathcom
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,396
- 519
Unaweza kupekua by surprise bila kuhoji mambo mengi utakayoyakuta, lakini sio kila mumeo akirudi kazini cha kwanza tu akiingia bafuni unakimbilia simu, kabla hujaanza kula chakula unaanza maswali na kushika kiuno, hii haipendezi! kwa wakati huo mwanaume anaweza asikujibu au akakujibu vibaya shida ikaanzia hapo..