Simu mpya za tecno zenye operating system ya android

Wewe mujamaa acha ubishi, kwann zisiwepo?
Tafuta xtouch x402
Hiyo tecno inatumia chipset ya mediatek mt6517 ambayo haisupport 3g bali ni gsm/cdma

mkuu umeshindwa tofautisha 3g na cdma ndo mana unachanganyikiwa. 3g ipo both kwenye gsm line ambapo inaitwa wcdma (hspa) na kwenye line za cdma ambapo huku inaitwa evdo so unaposema haina 3g sababu inatumia cdma hujaleta maana.

Ni kweli mtandao mkubwa wa simu china (china mobile) wanatumia cdma lakini tz pia zantel wana cdma so kama hio simu tajwa hapo juu ikaekwa line ya cdma ya zantel lazma kitu kipate 3g so usiseme haina 3g.
 
TCRA upuuzi mtupu..hawana lolote!

Wanapenda sana kukurupukia mambo, wakisikia kilichofanyika Kenya au Uganda na wao wanafuata mkondo bila ya kutafakali kama hii wenda ikawa ni mbinu za makampuni makubwa kutaka kuwaondoa washindani wao sokoni.

Hivi wanaweza kutufafanulia kiufundi kama kuna tofauti yoyote kitekinolojia kati ya simu za GSM kutoka China na Ulaya au Merikani? Je, za mfumo ya CDMA. Wote wanatumia mbinu zile zile kuzihunda hakuna cha Mchina au Mzungu.

TCRA inacho paswa kufanya ni kununua vifaa vya kupima mionzi inayo kuwa generated na simu za mkononi unapopiga simu (mbona kuna instrument/probe za kupima leakage za mionzi ya microwave OVEN) kwa nini pasiwepo probes za kupima mionzi inayo kuwa generated na simu za mikononi? - Cha muhimu hapa TCRA watumie hizo portable probe wapime mionzi kama hipo within acceptable limit au la (maanake kuna kiwango kilicho wekwa kuwalinda wanao tumia simu za mikononi).

Kama simu nyingine zitaonekana zimezidi kiwango kinacho kubarika, basi zitafutwe mbinu za kuziwekea shield ambazo ni cheap kuzinunua lakini zenye uwezo mkubwa wa kuzuia mionzi hatarishi, hii ndio inapaswa kuwa moja wapo ya kazi za TCRA i.e kutafuta mbinu za kuwasadia wananchi na siyo ku-jump kwenye bandwagon ya makampuni makubwa na kuwahacha wananchi maskini kwenye mataa kwa kuwalazimisha kununua branded SIMU. Simu si lazima ziwe za NOKIA, SAMSUNG, Motorola, BBerry, Bijampola nk.

Tekinolojia inayo tumika kuzihunda ni hile hile haijalishi imehundwa nchi gani, ndio maana simu ambazo si za Makampuni makubwa unaweza kupiga simu, kutuma/kupokea ujumbe na ku-surf Internet bila ya matatizo na cha muhimu zaidi zinahuzwa kwa bei ambayo kila mlala hoi anaweza kuimudu.
 
mkuu umeshindwa tofautisha 3g na cdma ndo mana unachanganyikiwa. 3g ipo both kwenye gsm line ambapo inaitwa wcdma (hspa) na kwenye line za cdma ambapo huku inaitwa evdo so unaposema haina 3g sababu inatumia cdma hujaleta maana.

Ni kweli mtandao mkubwa wa simu china (china mobile) wanatumia cdma lakini tz pia zantel wana cdma so kama hio simu tajwa hapo juu ikaekwa line ya cdma ya zantel lazma kitu kipate 3g so usiseme haina 3g.

Spot on mkuu, ila umesahau TTCL nao wanatumia CDMA.
 
hilo naelewa, tatizo ni kwamba hizo line za cdma watu wanatumia kwenye simu za mkononi?
 
Spot on mkuu, ila umesahau TTCL nao wanatumia CDMA.

mkuu nilienda ofisini kwao wakanambia hawana line za cdma bali wanatumia tu device za cdma ambazo zipo inbuilt na system yao.

Ila kuna wanaodai zipo je we umeshawah kuziona?
 
Mi nilishaona hizo za ttcl walikuwa wanauza 2500 na hizo za zantel za 10000
 
Mzururaji android ni aina mpya ya mademu wa Kimongolia
mkuu buji buji hapa tunaeliminisha na jamii inatusoma .adroid ni soft ware zilizopo kwenye simu za kichina ,mara nyingi adroid tablets hupatikana zaidi kwenye apple ,samsung ,sasa wachina nao wameingiza huo mfumo kwenye simu zao za viganjani faida zake ni kuwa simu inakuwa na mambo mengi na unaweza ukapiga simu kama skype unamuona anayekupigia na wewew unamuona .buji buji ongezea nakuja.......
 
Siyo ya kichina ni operating system ya google,
 
mkuu buji buji hapa tunaeliminisha na jamii inatusoma .adroid ni soft ware zilizopo kwenye simu za kichina ,mara nyingi adroid tablets hupatikana zaidi kwenye apple ,samsung ,sasa wachina nao wameingiza huo mfumo kwenye simu zao za viganjani faida zake ni kuwa simu inakuwa na mambo mengi na unaweza ukapiga simu kama skype unamuona anayekupigia na wewew unamuona .buji buji ongezea nakuja.......

Ndugu unadanganya!! Apple wanatumia ios na sio androids.. Then kutumia androids haimaanish skype ndo itafanya kaz.. Bado kuna vgezo vngne
 
mkuu buji buji hapa tunaeliminisha na jamii inatusoma .adroid ni soft ware zilizopo kwenye simu za kichina ,mara nyingi adroid tablets hupatikana zaidi kwenye apple ,samsung ,sasa wachina nao wameingiza huo mfumo kwenye simu zao za viganjani faida zake ni kuwa simu inakuwa na mambo mengi na unaweza ukapiga simu kama skype unamuona anayekupigia na wewew unamuona .buji buji ongezea nakuja.......

Android sio softwares inayopatikana kwenye simu za mchina, bali ni OS ambayo inatumika kwenye handsets nyingi ni simu ya kwanza kuuzwa ikiwa na hiyo OS ni HTC dream na wala si mchina.
Simu nyingi zinazo run android ni za samsung nadhani ndiye anaongoza soko kwa kuuza simu zenye android platfom.
Wachina wameanza tumia android hivi katibuni tu baada ya kuona imeshika sana soko na wala hawaimiliki wao android ni OS ya google.
Pili iphone hai run android bali IOS.
Kuhusu faida zake ni so poweful with rich features, stable full of applications in the market na ina uwanja mkubwa kwa madevelopers kufanya mambo yao.
 
mkuu nakubaliana na hoja unayojenga hapa hebu fafanua os ni nini na IOS ni nini na sio kwa faida yangu ni kwa ajili ya jamii wanaosoma articles hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom