Simu mpya za tecno zenye operating system ya android

Ndugu unadanganya!! Apple wanatumia ios na sio androids.. Then kutumia androids haimaanish skype ndo itafanya kaz.. Bado kuna vgezo vngne
mkuu hapa tunaeliminishana hakuna kudanganya ,fafanua skype inafanye kazi kwenye simu ya kiganjani na nini kinahitajika iwe connected
 
mkuu nakubaliana na hoja unayojenga hapa hebu fafanua os ni nini na IOS ni nini na sio kwa faida yangu ni kwa ajili ya jamii wanaosoma articles hizi.

OS ni kifupi cha operating system. Na OS ni mkusanyiko wa softwares nyingi ambazo zinamanage hardwares na kutengeneza mazingira ya softwares nyingine kufanya kazi.
Kuna OS nyingi kuanzia za computer mpaka za simu lakini nitataja mashuhuri. Kwa upande wa computer kuba Windows OS (windows 95,98,2000,XP,Vista,7 na sasa 8 n.k), Linux, Lion X (Macntosh), Ubuntu, Web OS n.k. Zote hizo ni OS za computer.
Kwa simu pia kuna Android, BBerry OS, iphone OS (IOS), Jolla, Maemo, symbian etc.
swali lako ulitaka jua android ni nini na ios ni nini?
Android OS ya simu inamilikiwa na google na iko huru kutumiwa na mtu yoyote ndio maana iko katika brand nyingi za simu. Google anaiacha itumiwe na makampuni ya simu mengi kama ambavyo microsoft anatengeneza windows kwa computers wakati yeye hatengenezi computer so inaweza tumiwa kwa Hp, dell, n.k.
IOS ni Iphone OS developed by apple kwa ajili ya simu za iphone ambapo baadaye ilianza tumiwa pia kwenye products zao nyingine kama ipad, na ipod touch. IOS haitumiwi na brand nyingine zaidi ya brand za apple wanatengeneza simu, ipad, na tablet zao zikiwa na os zao kama amavyo blackberry wanavyotengeneza simu zikiwa na OS yao na hawaruhusu wengine kuitumia.
Hope nimejitahidi eleza.
 
mkuu hapa tunaeliminishana hakuna kudanganya ,fafanua skype inafanye kazi kwenye simu ya kiganjani na nini kinahitajika iwe connected

Ili simu i make skype video kwanza hardware inabidi iruhusu kwanza simu iwe na front camera, na version ya os iliyomo kwenye simu ina matter. Sidhan kama android v 1.8 inayo run kwenye Tmobile G1 apps yake ya skype inasupport skype video.
 
OS ni kifupi cha operating system. Na OS ni mkusanyiko wa softwares nyingi ambazo zinamanage hardwares na kutengeneza mazingira ya softwares nyingine kufanya kazi.
Kuna OS nyingi kuanzia za computer mpaka za simu lakini nitataja mashuhuri. Kwa upande wa computer kuba Windows OS (windows 95,98,2000,XP,Vista,7 na sasa 8 n.k), Linux, Lion X (Macntosh), Ubuntu, Web OS n.k. Zote hizo ni OS za computer.
Kwa simu pia kuna Android, BBerry OS, iphone OS (IOS), Jolla, Maemo, symbian etc.
swali lako ulitaka jua android ni nini na ios ni nini?
Android OS ya simu inamilikiwa na google na iko huru kutumiwa na mtu yoyote ndio maana iko katika brand nyingi za simu. Google anaiacha itumiwe na makampuni ya simu mengi kama ambavyo microsoft anatengeneza windows kwa computers wakati yeye hatengenezi computer so inaweza tumiwa kwa Hp, dell, n.k.
IOS ni Iphone OS developed by apple kwa ajili ya simu za iphone ambapo baadaye ilianza tumiwa pia kwenye products zao nyingine kama ipad, na ipod touch. IOS haitumiwi na brand nyingine zaidi ya brand za apple wanatengeneza simu, ipad, na tablet zao zikiwa na os zao kama amavyo blackberry wanavyotengeneza simu zikiwa na OS yao na hawaruhusu wengine kuitumia.
Hope nimejitahidi eleza.
mkuu tuko pamoja sana
 
os ni kifupi cha operating system yaani mfumo endeshi unaweza ukawepo ktk cmu au ktk computer.kazi yake ni kuweza kufanya kifaa hucka kufanya kazi iliyokusudiwa kuna os nying microsoft os yao inaitwa window,gugo inaitwa android za kwenye cmu na tab,na kwenye comp inaitwa chrome os lakin pia ios ni os ya kampuni ya kimarekan ya apple
hpe kidogo nimeeleweka wengne watakuja kumalizia
 
Ili simu i make skype video kwanza hardware inabidi iruhusu kwanza simu iwe na front camera, na version ya os iliyomo kwenye simu ina matter. Sidhan kama android v 1.8 inayo run kwenye Tmobile G1 apps yake ya skype inasupport skype video.

pia kuna kgezo cha smu iwe na uwezo wa 3g! Sometimes mtu smu yake ina 3g ila service provider wake hana 3g so inakua haiwezekani! Mfano Tigo hawana 3g maeneo mengi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom