Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Wakuu, salaam. Simu yangu ni TECNO Y3+. Tatizo hili linasababishwa na nini?Yaani simu kama netweki iko chini au hamna kabisa inashindwa kusevu majina. Tatizo limeanza toka juzi mchana. Nikahisi labda mimori yake imejaa lakini sivyo. Tatizo hili linanikera. Hii husababishwa na nini?Nijuavyo ni kuwa kusevu majina hakuhitaji network.