mwanamanzi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 270
- 354
Huo ni utapeli na hao watu wapo kama vile wanavyotapeli kwenye mitandao ya simu. Na inavyooneakana ni kama vile wanashirikiana na maafisa utumishi real walioko maofisini kwa kupatiwa taarifa za mtumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app