slay queen
Senior Member
- Dec 21, 2019
- 103
- 277
Huo ni utapeli maagizo yoyote lazima angeyapata kwa afisa utumishi wake !! Wa wilaya ndio taratibu zilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa boya tena mkuu! Unajua kusoma vizuri wew?acha uboya.....anza na watu wa utawala ofisini kwako ndiyo uende ngazi nyingine...pambaf
Hakuna Afisa utumishi anaweza risk kibarua chake namna hiyo..
Iko shida pia kwa ndugu yako.
Sikubaliani na wewe hapa, maafisa utumishi wote wako Dodoma? kwenye halmashauri yake hakuna afisa utumishi, mbona halmashauri zote zina wakurugenzi na maafisa utumishi, wana kazi gani kama sio kusaidia issue kama hizi, nadhani sio lazima aende Dodoma, akamuone afisa utumishi wake wa halmashauri anayofanyia kaziTatizo lenu hamuelewi. Uko Manyara au Tarime ni mwalimu unafundisha huko au ni Mganga je unawezaje kuwajua maafisa walioko Wizarani Dodoma? Si mpaka upate shida ya kukufanya usafiri kuja Dodoma? Na siku hizi masuala mengi wanashughuliia maafisa utumishi wa halmashauri unakofanya kazi na sio lazima uende wewe TAMISEMI. sasa hapo unawajuaje maafisa utumishi walio Wizarani?
Cha kufanya unapopigwa simu na hao matapeli waambie unaenda kushughulikia suala hilo kwa afisa utumishi wa halmashauri. Ukisema hivyo wanakutukana wanasepa.
Ni kweli mkuu kuna haja ya kujiuliza maswali hapa licha ya kusema yeye sio alihitaji kutoa rushw Bali huyo alijiita afsa utumishi tamisemi ndio aliomba kusudi wayamalizeIko shida pia kwa ndugu yako.
Ni aidha kuna udanganyifu alishawahi kufanya au ni mtu mwenye wasiwasi mwingi.
Unapigiwaje simu kwenye issue za kiofisi na yeye kuanza kujichanganya mpaka kuwaza kutoa nusu.
Ujue hapo anatoa Rushwa. Vipi kama ni watu wa Takukuru au ni watu ambao wapo kazini ku confirm hypothesis yao ?
Anatakiwa aende ofisini akaelezee hiyo scénario unless anachagua kuwa kilaza.
Hizo ni ishu za kiutawala zinatakiwa ziende kiofisini zaidi. Aachane na mambo ya simu.
The big question is; kwanini anawaza kutoa Rushwa,? Something is wrong, really wrong !
Sikubaliani na wewe hapa, maafisa utumishi wote wako Dodoma? kwenye halmashauri yake hakuna afisa utumishi, mbona halmashauri zote zina wakurugenzi na maafisa utumishi, wana kazi gani kama sio kusaidia issue kama hizi, nadhani sio lazima aende Dodoma, akamuone afisa utumishi wake wa halmashauri anayofanyia kazi
mtafute jina kwenye cim c amejisajili kwa fingerprint,nenda takukuruHabari wanajamvi! Ni matumaini yangu mko poa kabisa na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku!
Kuna mtu wangu wa karibu yangu sana ni mtumishi wa serikali kwenye idara Fulani!
Huyu ndg kapigiwa simu muda huu na mtu ambaye anajiita yeye ni afisa utumishi tamisemi! Afisa huyo amemueleza ndg yang kuhusu taarifa zake za kiutumishi kwamba majina yake yametofautiana na pia tarehe za kuzaliwa zinatofautiana kwenye document na file lake.
Mfano: Juma Rajab Abdul badala ya juma Abdul Rajab pia kuna nakala imeandika tarehe ya kuzaliwa 27/12/19. Lakini nyingine inasoma 27/02/19.
Ndg yangu amekiri kuhusu kutofautiana kwa majina yake matatu kwani alisema hilo alishawahi kukutana nalo wakati wa uhakiki na alilifanyia kazi hadi ofisi ya kanda alifika kula kiapo na mambo yalikaa sawa tangu 2017 na hapakuwa na shida yoyote kwenye ulipwaji wa mshahara na stahiki zake zote za kiutumishi ,,, kuhusu utofauti wa tarehe ya kuzaliwa ndugu yangu kasema hilo ni uongo kwani hazikuwahi kutofautiana katika mafaili yake yote.
Baada ya kuelezwa yote hayo ndg yang alimuuliza huyo afisa namna ya kumsaidia ambako aliambiwa atume 100k ili wapitishe faili lake na asipofanya hivyo ataondolewa kwenye payroll kwani anaonekana kama mtumishi hewa na wao wanaendelea kufanya uhakiki!
Aliponieleza hivyo nilihisi kama kuna dalili za utapeli hapa,, tumejadiliana na kuamua kukaa kimya na endapo atapiga simu tena atamwambia imepatikana pungufu mfano 30k, au 40k... Baada ya muda kidogo huyo afisa alipiga simu tena na kuuliza kama ametuma na ndg yang alimjibu kuwa imepatikana pungufu kama nilivoeleza hapo na bwana yule alikubali kupokea na kumwambia zinazobaki atamalizia taratibu.
Ndugu yangu alinipa taarifa hiyo na nkamjibu hebu asifanye haraka kutuma hata hiyo pungufu...
Inaonekana huyo afisa wa tamisemi alikuwa anamharakisha atume na kumpa vitisho juu ya ajira yake..
Naomba mchango wa mawazo wakuu kuhusu zoezi hili LA uhakiki.
Asanteni, nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kufoka tu...hata angetoka kwenye MIC ya simu.Tuwe tunapunguza uoga.Ok fine,, mkuu tunatofautiana katika kuhimili pressure kutoka nje,, jamaa alikuwa anapiga simu huku akifoka na kumpa limit ya mda wa kutuma lakini Mimi sikuona haja ya kuwa na haraka nkamshauri ndg yang aende ofisini kesho kuhakiki taarifa zake ndio tukawa tunavutana hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyama ya nini? Dogo atangulie TAKUKURU/TCRA ajue mwenye simu ili wamkomesheMkuu ongezea nyama kidogo hapo kwani cha kushangaza jamaa anajua majina kwa usahili kadiri yalivyo kwenye mafaili licha ya kujichanganya kidogo kwenye tarehe ya kuzaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu kuna haja ya kujiuliza maswali hapa licha ya kusema yeye sio alihitaji kutoa rushw Bali huyo alijiita afsa utumishi tamisemi ndio aliomba kusudi wayamalize
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hizo mambo zimeshapitwa na wakati inaonekana huyo ndugu yako bado yupo kolomije mwamshe usingizini aache umbulula maisha yamekua magumu watu wanatafuta kila namna ya kuingiza kipato kwa njia ya kuumiza wenzao! Yote kwa yote utapeli umekua mwingi muhimu ni kujiongeza fasterHabari wanajamvi! Ni matumaini yangu mko poa kabisa na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku!
Kuna mtu wangu wa karibu yangu sana ni mtumishi wa serikali kwenye idara Fulani!
Huyu ndugu kapigiwa simu muda huu na mtu ambaye anajiita yeye ni afisa utumishi TAMISEMI! Afisa huyo amemueleza ndugu yangu kuhusu taarifa zake za kiutumishi kwamba majina yake yametofautiana na pia tarehe za kuzaliwa zinatofautiana kwenye document na file lake.
Mfano: Juma Rajab Abdul badala ya juma Abdul Rajab pia kuna nakala imeandika tarehe ya kuzaliwa 27/12/19. Lakini nyingine inasoma 27/02/19.
Ndugu yangu amekiri kuhusu kutofautiana kwa majina yake matatu kwani alisema hilo alishawahi kukutana nalo wakati wa uhakiki na alilifanyia kazi hadi ofisi ya kanda alifika kula kiapo na mambo yalikaa sawa tangu 2017 na hapakuwa na shida yoyote kwenye ulipwaji wa mshahara na stahiki zake zote za kiutumishi, kuhusu utofauti wa tarehe ya kuzaliwa ndugu yangu kasema hilo ni uongo kwani hazikuwahi kutofautiana katika mafaili yake yote.
Baada ya kuelezwa yote hayo ndugu yangu alimuuliza huyo afisa namna ya kumsaidia ambako aliambiwa atume 100k ili wapitishe faili lake na asipofanya hivyo ataondolewa kwenye payroll kwani anaonekana kama mtumishi hewa na wao wanaendelea kufanya uhakiki!
Aliponieleza hivyo nilihisi kama kuna dalili za utapeli hapa, tumejadiliana na kuamua kukaa kimya na endapo atapiga simu tena atamwambia imepatikana pungufu mfano 30k, au 40k... Baada ya muda kidogo huyo afisa alipiga simu tena na kuuliza kama ametuma na ndugu yangu alimjibu kuwa imepatikana pungufu kama nilivoeleza hapo na bwana yule alikubali kupokea na kumwambia zinazobaki atamalizia taratibu.
Ndugu yangu alinipa taarifa hiyo na nikamjibu hebu asifanye haraka kutuma hata hiyo pungufu.
Inaonekana huyo afisa wa TAMISEMI alikuwa anamharakisha atume na kumpa vitisho juu ya ajira yake.
Naomba mchango wa mawazo wakuu kuhusu zoezi hili la uhakiki.
Asanteni, nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi ninawasiwasi na huyo mtumishi,atakuwa kafoji vyeti,na jamaa wanatumia udhaifu huokama ametuma, basi huyo kafoji cheti kweli.
UkirudIa kusoma posti yangu hatujatofautiana kabisa. Wanaopiga simu hudai wapo TAMISEMI Dodoma. Hawezi kupiga simu mtu yupo halmashauri anajua utapanda daladala au Bodaboda utafika siku hiyo hiyo umuumbue.Nilikuwa namjibu jamaa aliyekandia mtoa mada kuwa ni bwege hamjui hata afisa utumishi wake!Sikubaliani na wewe hapa, maafisa utumishi wote wako Dodoma? kwenye halmashauri yake hakuna afisa utumishi, mbona halmashauri zote zina wakurugenzi na maafisa utumishi, wana kazi gani kama sio kusaidia issue kama hizi, nadhani sio lazima aende Dodoma, akamuone afisa utumishi wake wa halmashauri anayofanyia kazi
Habari wanajamvi! Ni matumaini yangu mko poa kabisa na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku!
Kuna mtu wangu wa karibu yangu sana ni mtumishi wa serikali kwenye idara Fulani! Huyu ndugu kapigiwa simu muda huu na mtu ambaye anajiita yeye ni afisa utumishi TAMISEMI! Afisa huyo amemueleza ndugu yangu kuhusu taarifa zake za kiutumishi kwamba majina yake yametofautiana na pia tarehe za kuzaliwa zinatofautiana kwenye document na file lake.