Simu kupoteza network

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
Wakuu
Naomba msaada wenu sana tena sana Simu yangu mda flani inajizima data yenyewe yaani kwenye setting inaonyesha data ipo on lakini hapa juu kwenye status bar hakuna cha 3g wala H+ na ukiingia intanet inaandika data ipo off nimekwama jamani

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

Same to me. Ila nikisubiri muda inarudi au wakati mwingine ni mpaka nirestart..
 
mkuu haka katatizo itakuwa sisi tunaotumia simu zetu za watanzania za tecno.
 
mkuu chukua playstr hyo ya ntwk
 
Attachments

  • Screenshot_20170831-214652.png
    Screenshot_20170831-214652.png
    166.9 KB · Views: 51
Samsung j2. Halotel, tigo same problem

Pole sana...mm nlikuwa na j7 ilianza tatizo kama hilo nkaamua kuikimbia

Mara naambiwa weka airplane mode zima simu halaf washa network inarudi inakaa kidogo inapotea
 
Pole sana...mm nlikuwa na j7 ilianza tatizo kama hilo nkaamua kuikimbia

Mara naambiwa weka airplane mode zima simu halaf washa network inarudi inakaa kidogo inapotea
Basi itakuwa shida ni simu na si mtandao.
.
.
Btw...i miss u
 
Basi itakuwa shida ni simu na si mtandao.
.
.
Btw...i miss u

Mungu akufanyie wepesi upate nyingine haraka...linapokuja suala la kununua simu huwa naumia kichwa ipi ni nzuri

Miss me?!..u wnt me to av wet dreams
 
Mungu akufanyie wepesi upate nyingine haraka...linapokuja suala la kununua simu huwa naumia kichwa ipi ni nzuri

Miss me?!..u wnt me to av wet dreams
Nitabadili muda ukiwadia...
.
.
I dont want u to have wet dreamz..nimekumiss tuuu. Kikawaida!
 
Back
Top Bottom