Simu kupata joto

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,308
1,500
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.

Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?
 
pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
3,967
2,000
Hee - mimi mpaka nilitupa dustbin HTC moja kwa tatizo hilo nikadhani nimeingizwa mjini na aliyeniuzia (jamaa moja aliichuku na anaendelea kuitumia - japo sio kwa internet).
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,793
2,000
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.

Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?

simu nyingi hufanya hivyo hasa ukiwa na apps nyingi
 
Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,205
2,000
Kwa simu nyingi huwa betri inaanza kupata moto, kisha sehemu ya nyuma kwa kuwa ni bati au nyembemba
 
eliasy

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
455
195
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.

Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?

Betri nayo inakaa na chaji muda gani??
Ttzo linakuwa ktk betri.
Hata mimi hlo ttzo lilinipata but baada ya kuambiwa ni betri, nikabadilisha. Sasa hivi iko poa
 
ilonga

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
1,057
2,000
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.

Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?

Je,ni simu mpya? ina.muda gani tangu uinunue? mimi nilinunua Xperia mwezi wa 9,yenyewe ilikuwa haisubiri uingie internet,hata kama unasikiliza muziki inakuwa ya moto kama italipuka muda wowote. Nili browse kwny webs na blogs za Sony kutafuta suluhisho,wakasema ni hali ya kawaida kwa simu mpya,kwani software yake bado inajizoesha na matumizi,wakasema baada ya muda itaacha. Sasa huu ni mwezi wa tatu,sioni tena hivyo vijimambo,hata betri ilikuwa inaisha haraka sana. Sasa hivi iko poa. Ni hali ya kawaida kwa simu za Android hasa zile ambazo betri ni non removable.
 
uyui kwetu

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
1,048
2,000
hilo tatizo mm ninalo Mpaka sasa setting ikiwa on basi ni balaa nilinunua ya kwanza nikairudisha nikapewa nyingine nayo ni hivyo hz htc ni kwann?
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,308
1,500
Je,ni simu mpya? ina.muda gani tangu uinunue? mimi nilinunua Xperia mwezi wa 9,yenyewe ilikuwa haisubiri uingie internet,hata kama unasikiliza muziki inakuwa ya moto kama italipuka muda wowote. Nili browse kwny webs na blogs za Sony kutafuta suluhisho,wakasema ni hali ya kawaida kwa simu mpya,kwani software yake bado inajizoesha na matumizi,wakasema baada ya muda itaacha. Sasa huu ni mwezi wa tatu,sioni tena hivyo vijimambo,hata betri ilikuwa inaisha haraka sana. Sasa hivi iko poa. Ni hali ya kawaida kwa simu za Android hasa zile ambazo betri ni non removable.
Mkuu ni simu nimenunua mwezi novemba.
Kuhusu betri kukaa na chaji ni janga yaani ukiwasha setting tu tayari jiwe moja hamna na baada ya saa moja inatakiwa kuchaji tena
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,308
1,500
Je,ni simu mpya? ina.muda gani tangu uinunue? mimi nilinunua Xperia mwezi wa 9,yenyewe ilikuwa haisubiri uingie internet,hata kama unasikiliza muziki inakuwa ya moto kama italipuka muda wowote. Nili browse kwny webs na blogs za Sony kutafuta suluhisho,wakasema ni hali ya kawaida kwa simu mpya,kwani software yake bado inajizoesha na matumizi,wakasema baada ya muda itaacha. Sasa huu ni mwezi wa tatu,sioni tena hivyo vijimambo,hata betri ilikuwa inaisha haraka sana. Sasa hivi iko poa. Ni hali ya kawaida kwa simu za Android hasa zile ambazo betri ni non removable.

Mkuu nilinunua mpya mwezi novemba.

Yangu hii sio betri non removable
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,308
1,500
Hee - mimi mpaka nilitupa dustbin HTC moja kwa tatizo hilo nikadhani nimeingizwa mjini na aliyeniuzia (jamaa moja aliichuku na anaendelea kuitumia - japo sio kwa internet).

Kwahiyo mkuu sasa hivi unatumia simu gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom