kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,327
- 521
- Thread starter
- #21
Betri nayo inakaa na chaji muda gani??
Ttzo linakuwa ktk betri.
Hata mimi hlo ttzo lilinipata but baada ya kuambiwa ni betri, nikabadilisha. Sasa hivi iko poa
Yaani mkuu haikai na chaji.
Labda naweza pata wapi betri ya hii simu? Nikisoma kwenye mtandao naona betri yake ni 2000mAh na iliyopo kwa sasa kwenye simu ni 1730mAh inawekana tatizo linaanzia hapo.