Peleka kwa fundiNina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
Nikichomeka chaja hairespondChaji inajaa lakini?
😅😅😅Chaji inajaa lakini?
Watakuambia iTel, Infinix na Tecno ni watoto wa tumbo moja, baba ndio tofauti.Ngoja kidogo uone,
Malimbukeni wa iPhone na Samsung watakuja hapa kuleta ngebe
Kwa njia ipi tafadhaliKuna unyevu umeingia eneo la kuchajia.... suluhiso ikaushe
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
nikiwa Kam fundi simu mzoefu,Kuna unyevu umeingia eneo la kuchajia.... suluhiso ikaushe
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nikaushe kwa njia ipiHili ndilo jibu sahii
Unamaanisha nini mkuuni sawa na mwanaume kunyoosha gobore juuu ilihali hamuna mazingira ya kuleta/sababisha tahayarukii
Ulimbukeni TU unawasumbua,Watakuambia iTel, Infinix na Tecno ni watoto wa tumbo moja, baba ndio tofauti.
Joto la jua pekee litasaidia?nikiwa Kam fundi simu mzoefu,
Hili ndilo jibu sahii
Mtu yupo radhi atumie iPhone 6 ya 2014 sio Infinix Hot 10 ya 2021.Ulimbukeni TU unawasumbua,
Wengi wao kwa features zilizokuemo ndani hawana hata matumizi nazo.
Mf:
Unakuta samsung Ina ram 16gb,
afu Mtu mwenyewe Unakuta matumizi yake hata gb 1 haiishi.
Mwingine anakwambia iPhone inausalama Sana,
ukimuuliza unanini Cha maana kuficha humo. Majibu Hana.
Ukichunguza hata iCloud Yale iko empty KABisa.
Uko sahii KABisa,Mtu yupo radhi atumie iPhone 6 ya 2014 sio Infinix Hot 10 ya 2021.
Feature-wise Infinix ipo juu, lakini ananunua brand.
Mi nilishaacha aisee. Naangalia the best phone iliopo kwenye my budget, regardless ya brand.
Chukua pin au sindano toa toa uchafu kwenye tundu (pale unakochomeka chaji) patakuwa pamejaa cabon/kutu hivyo kuc hukulia hivyo vibati kujiuganishaNina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
Ram au Rom mkuu?Ulimbukeni TU unawasumbua,
Wengi wao kwa features zilizokuemo ndani hawana hata matumizi nazo.
Mf:
Unakuta samsung Ina ram 16gb,
afu Mtu mwenyewe Unakuta matumizi yake hata gb 1 haiishi.
Mwingine anakwambia iPhone inausalama Sana,
ukimuuliza unanini Cha maana kuficha humo. Majibu Hana.
Ukichunguza hata iCloud Yale iko empty KABisa.