Simu kuonesha 'charging' wakati haijawa connected

Simu kuonesha 'charging' wakati haijawa connected

Ushauri wenu nmeufanyia kazi sasa hivi iko vzur. Nawashakuru wote
 
Kuna njia hapo zimegusana angalia usipige shote saketi
 
Mbona kama humu huyu ndugu kauliza tatzo la cm yake wengi mmeonekana kuwashambulia raia wenye iphone au samsung zao kwan kuna uhusiano gani na tatzo la cm ya huyo ndugu au ni ulimbukeni na ujuaji tu au wivu

Bt ukweli itel, tecno, infinix ni simu za hovyo hovyo sn ndo maana hata china hawatumii hzi

Hata mchina ukimuwekea hapo iphone 6 na itel ya mwaka 2021 hawez chukua itel au tecno ya mwaka huu atachukua iphone 6

Na nyie mliojaza povu humu uwekewe hapo samsung note 8 na itel ya mwaka huu hakuna wa kuchukua itel au tecno au infinix ila humu povu kama lote
 
Back
Top Bottom