Simu kuonyesha charging wakati haijawa connected

Simu kuonyesha charging wakati haijawa connected

Jackson10

Member
Joined
Jun 4, 2021
Posts
36
Reaction score
24
Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
 
Niliwahi kusoma humu kuwa inapaswa kusafisha sehemu ya kuchomekea chaji kwenye Simu, itaondoka
 
Back
Top Bottom