Simu kuonesha 'charging' wakati haijawa connected

Jackson10

Member
Jun 4, 2021
33
23
Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
 
Watakuambia iTel, Infinix na Tecno ni watoto wa tumbo moja, baba ndio tofauti.
Ulimbukeni TU unawasumbua,

Wengi wao kwa features zilizokuemo ndani hawana hata matumizi nazo.

Mf:
Unakuta samsung Ina ram 16gb,
afu Mtu mwenyewe Unakuta matumizi yake hata gb 1 haiishi.
Mwingine anakwambia iPhone inausalama Sana,
ukimuuliza unanini Cha maana kuficha humo. Majibu Hana.
Ukichunguza hata iCloud Yale iko empty KABisa.
 
Mtu yupo radhi atumie iPhone 6 ya 2014 sio Infinix Hot 10 ya 2021.

Feature-wise Infinix ipo juu, lakini ananunua brand.

Mi nilishaacha aisee. Naangalia the best phone iliopo kwenye my budget, regardless ya brand.
 
Uko sahii KABisa,
Unanunua simu gharama afu haikai na chaji.
Ayo Mateso yote ya Nini Sasa.

Infinix ameweza Sana Kwenye uwezo wa betri kwa sisi wasiopenda kubeba powerbank.
 
Ulimbukeni TU unawasumbua,

Wengi wao kwa features zilizokuemo ndani hawana hata matumizi nazo.

Mf:
Unakuta samsung Ina ram 16gb,
afu Mtu mwenyewe Unakuta matumizi yake hata gb 1 haiishi.
Mwingine anakwambia iPhone inausalama Sana,
ukimuuliza unanini Cha maana kuficha humo. Majibu Hana.
Ukichunguza hata iCloud Yale iko empty KABisa.
Ram au Rom mkuu?
 
Back
Top Bottom