Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,972
- Thread starter
- #21
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tecno spark 10 yangu ilifuta nikajua mke wangu amenifanyia uhuni maana pasword anaijua. Lakini nikawa najiuliza mbona namba nyingi hazina tatizo! Nikimwangalia usoni ana amani kabisa, yaani kama hakuna kilichotokea, nikajisemea moyoni basi bwana.
Tumeachana mchana majina yakarudi yote, siku nyingine ikanifanyia mchezo huo huo nikiwa peke yangu. Nikaona isiwe tabu, nikauza.
umemuuzia mtu msala