Simu janja nzuri ya kutumia

Simu janja nzuri ya kutumia

Mundele Makusu1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2021
Posts
2,629
Reaction score
3,722
Wakuu humu jf kwema

Naomba ushauri wa simu gani janja (Smart phone) nzuri yenye uwezo mzuri wa kupiga picha,uwezo mkubwa wa kuhifadhi(storage capacity) na uwezo mkubwa wa kukaa na chaji kwa kampuni yoyote ile, ikipendeza bei zake madukani na changamoto za simu hiyo.
Bajet yangu ni 250k mpaka 300k

#Nawasilisha.
 
Unapotafuta kujua simu nzuri ya kutumia, ni vyema uweke wazi madhumuni ya uhitaji wako, bajeti n.k

Mtu anaweza toa consultation kulingana na information anazozikusanya toka kwa muhitaji
 
Mwenye Nokia 106 4G boxed
20k bajeti tufanye biashara
 
Unapotafuta kujua simu nzuri ya kutumia, ni vyema uweke wazi madhumuni ya uhitaji wako, bajeti n.k

Mtu anaweza toa consultation kulingana na information anazozikusanya toka kwa muhitaji
Nimeshaweka boss
 
Kwa vigezo vyoote ulivyotaja nikataka kukutajia simu nzuri lakini nilipoona kigezo cha chaji basi nimeghairi... hakuna namna nyingine hapo nunua infinix tu!
 
Kwa vigezo vyoote ulivyotaja nikataka kukutajia simu nzuri lakini nilipoona kigezo cha chaji basi nimeghairi... hakuna namna nyingine hapo nunua infinix tu!
Ungeitaja tu yoyote unayoijua inakidhi vigezo hapo juu na kusema changamoto yake ni chaji labdah
 
Back
Top Bottom