Simu izi???????????????????!

Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
Kwanini umtilie shaka ? mnatumia mtandao tofauti ? kwao hali ikoje ? una sababu yoyote ya kumshuku ? huwa ni usiku au mchana ?
 
Muulize, bb unanipigia simu tunaongea sana kwa simu unapata wapi pesa? simple!
 
Credit humuwekei? mi nashangaa sana utakut a mwanaume anajua kabisa demu wke hana kazi halafu anamuuliza mbona hujibu sms zangu au umekuta miss call mbona hujapiga wakati anajua fika mwenzake hana kazi, Hapa kama anakupenda yuko tayari kutumia mbinu yoyote ili muwasiliane, either kuomba kwa ndugu wazazi na hata kutumia za wale mabazazi ambao wanatoa hata kama hawapendwi

Duh! Hiyo inauma....!
 
Dah!!
Haya bwana, uwe unampa hela ya vocha basi!!
 
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
kabla sijaoa niliachana na demu mmoja kwa kupuza simu zake au akiongea pumba kwa muda mrefu nakata simu nakumwambia niko ofisini tutaongea nikitoka basi akaona simpendi/sijari...kuajilia gani kuongea kwenye simu zaidi ya dakika 10 huu ni upuuzi na nikitendo ambacho binafsi nakichukia sana...mfano unaweza kwenda bengi unamkuta teller anaongea na simu na mpenzi wake zaidi ya dakika 10 inakera sana...Mkewa wangu akipiga simu anaongea siyo zaidi ya dakika 1 labda kama kuna tatizo au niko lunch..vinginevyo tukutane nyumbani jioni
 
Credit humuwekei? mi nashangaa sana utakut a mwanaume anajua kabisa demu wke hana kazi halafu anamuuliza mbona hujibu sms zangu au umekuta miss call mbona hujapiga wakati anajua fika mwenzake hana kazi, Hapa kama anakupenda yuko tayari kutumia mbinu yoyote ili muwasiliane, either kuomba kwa ndugu wazazi na hata kutumia za wale mabazazi ambao wanatoa hata kama hawapendwi

tehtehteh ..i like that...

kama muhusika hanunui vocha sasa unadhani vipi?of course mabazazi wakijileta wakimpa vocha anaongea dakika 20..hahahah
 
Mbona mna dhana dhaifu ivyo? Ili kumridhsha umpendae demu anaweza kuhamisha salio kwa maza ili angalau awasiliane na yule ampendae. Na hii ya demu kupga cmu basi wanaume itabd wajisute kwa kuona hupgi ila unapigiwa tena na m2 asie na kazi.
 
unajua izo hua znatokea ila c kama navoelezea hapa.inamana mawazo ya wanajamv yataokoa ili jahaz
 
Back
Top Bottom