Simu izi???????????????????!

Naakija amependeza nahali we hujampa kitu unakuwa na maswali pia?au vocha tu.Sijui sana ila bwana si wakati wote tu anaweza kuwa ni mtu mbaya,mtu akipenda atafanya njia zote za halali apate njia ya mawasiliano,wakati mwingine atakua radhi atembee kwa miguu badala ya kupanda daladala apate hela ya vocha
 
ndio nyote nyie nyie!! kama unajua hana kazi wala shuhuli yoyote, siumwekee vocha??
 
NITASEMA UKWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.
Huwa tunapenda sana kuomba vocha kwa wanaume mbalimbali. yule unayemuomba vocha hata kama akikutumia haumpigii yeye ila unambip japo amekutumia. unampigia mwingine tena mwanaume. na kama boyfriend wangu akinitumia vocha simpigii pia nitamuandikia sms au kumbip japo simu ina hela ila nitampigia mwanaume mwingine. vivocha huwa vinatukamatisha wengi sana maana lazima kuna nyingine zinalipwa interms of kind not cash.

Kwa maneno ya M...yangu. mi najisiska kwamba amewekewa airtime na mwanaume mwingine halafu anakupigia wewe
 
We naye vp, kwani dk 20 inagharimu sh ngap??? Kama ishu ndogondogo kama hizi zinakupa tabu, uhusiano utauweza kweli??
 
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?

mwambie anipigie mimi. Inaonekana anajali sana. Nitamwezesha apate hela ili azidi kunipigia.
 
Jirushe, cheka time au extreme na pia kuna twanga kote kote
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?
 
mmmm naanza pata picha

wala usiwaze hivyo mpendwa anaweza kuwa anapewa hela ya matumizi nyumbani na wazazi wake akaibajeti vizuri na kubakiza kidogo akanunua vocha, kwani anakupigia kila siku jamani, tena dakika 20 ni chache sana kama mpo mtandao mmoja, tigo kwa tigo gharama nafuu saaaaaaaaana, vile vile unaweza kumuuliza tu pesa huwa anatoa wapi ili kuondoa mashaka,
 
Hua unajisikiaje unapopigiwa simu na mpenzi wako wa kike zaidi ya dakika20 japokua hana kazi,wala shughuli yoyote ya kumwingizia kipato?hua unahisi nini? Au ndo uzungu wenyewe?

kisa cha mpemba hicho
na ww uwa unahisi nn mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom