Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 20,286 Reaction score 48,603 Jan 3, 2025 Thread starter #2 Siemens A52 Nokia C3 Nokia 2600 Nokia 2300 Nokia N70 Nokia 2100 Nokia 3100 Nokia 3320 Nokia 1101 Nilishawahi kutumia zote hizo
Siemens A52 Nokia C3 Nokia 2600 Nokia 2300 Nokia N70 Nokia 2100 Nokia 3100 Nokia 3320 Nokia 1101 Nilishawahi kutumia zote hizo
Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,867 Reaction score 15,826 Jan 3, 2025 #4 N73 6150 6500 1101
26 Life JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 828 Reaction score 1,232 Jan 3, 2025 #5 Kila mstari hapo kuna simu nimeitumia man.
DungaMawe JF-Expert Member Joined Jul 31, 2022 Posts 1,525 Reaction score 4,662 Jan 3, 2025 #6 Japo sio nkongwe lakin simu yangu ya kwanza kutumia ni 1112 nilipewa na nabu yangu mwaka 2019
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,488 Reaction score 20,039 Jan 3, 2025 #7 Hapo nimeishi na hizo, Nokia 5200 Nokia 5310 Nokia 6600 Nokia 1101 Nokia C3 Kwenye hizo N Series zilikua zamoto sana nimetumia N95 na N73
Hapo nimeishi na hizo, Nokia 5200 Nokia 5310 Nokia 6600 Nokia 1101 Nokia C3 Kwenye hizo N Series zilikua zamoto sana nimetumia N95 na N73
Jackcharty Member Joined Oct 31, 2022 Posts 34 Reaction score 60 Jan 3, 2025 #8 Si mkono we lakini nimetumia nokia mwaka 2009
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 3,159 Reaction score 6,211 Jan 3, 2025 #9 Nokia 3310
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,799 Reaction score 22,131 Jan 3, 2025 #10 Ktk column nina simu mbili au zaidi nimetumia
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 3,086 Reaction score 6,108 Jan 4, 2025 #11 Kila kolamu Kuna simu nimewai Iba bwenini
NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,577 Reaction score 3,668 Jan 4, 2025 #12 Kwenye Kila Mstari zipo nilizotumia na Nilizonazo mpaka sasa. changamoto ni Betri na Makava maana yamevunjika. ila hiyo 3250 ilinipa Heshima sana. Kwa sasa natumia Nokia 3.4. Namsubiria Mfinland Mwenyewe bado Naimani atarudi kundini One day.
Kwenye Kila Mstari zipo nilizotumia na Nilizonazo mpaka sasa. changamoto ni Betri na Makava maana yamevunjika. ila hiyo 3250 ilinipa Heshima sana. Kwa sasa natumia Nokia 3.4. Namsubiria Mfinland Mwenyewe bado Naimani atarudi kundini One day.