Simu ipi nitanunua bila kujutia !?

asanteni sana wadau kwa ushauri wnu..mpaka sasa naona watu wengi wanaifagilia s2 na penye wengi uwa haliabiliki jambo,nashawishika kuitafuta iyo s2
 

yeye anataka android wewe unaleta habari za symbian. usimpotoshe mkuu. mia
 
Last edited by a moderator:
Sony Xperia Z. Ni ngumu, water proof, ina camera ya kufa mtu na processor iliyoenda shule. Ila kwa sababu ilitoka rasmi mwezi January, ukiitoa dukani kwanza ifanyie software update. Kufidia miezi kumi ambayo OS yake inatakiwa kupanda kutoka Android 4.1 hadi 4.22 jellybean
 

hii inaenda kwa bei gani mkuu
 

asante kwa maelezo mazuri mimi nimenunua huawei y300 very nice phone....
ombi:; naomba kama unajua au mwingine yeyote anaejua zinapopatikana FLIP COVER zake nitashukuru sana
 
Aleyn hapo umeongea ukweli hii simu (galaxy note2) ni jiwe la ukweli sana mimi ndyo ninayoitumia sijawahi kupata matatizo hata kidogoo na kuhusu kukaa na chaji hyo ni guarantee toshaa...

Uliichukua kwa Sh.ngapi Kaka?
 
asanteni sana wadau kwa ushauri wnu..mpaka sasa naona watu wengi wanaifagilia s2 na penye wengi uwa haliabiliki jambo,nashawishika kuitafuta iyo s2

Tafuta Galaxy Note II, achana na S2. Note II inakaa na Chati we mwenyewe utafurahi ndo maana nikakwambia ukiijutia mi nitakupa ela yako.
 
Tafuta Galaxy Note II, achana na S2. Note II inakaa na Chati we mwenyewe utafurahi ndo maana nikakwambia ukiijutia mi nitakupa ela yako.

hakuna ubishi note 2 ni nzuri je utampa yako kwa laki 4? hio note one yenyewe huipat kwa lak 4 labda iliochoka mkonon
 
Nmeagizia Dubai Galaxy Note III kwa $530, Ikitia Timu ntawaleteeni feeback Wajameni. Hii kitu Ndio inayokimbiza kwa Sasa.
 
Mkuu hyo cash mbona unapata cm kali sana hata S4, moto X unapata bila wasiwasi.
 
Mie yangu ni Samsung Galaxy Grand Duos. Mpaka sasa bado sijajuta na ninayo mwezi wa 5 sasa. Nilinunua kwa 6.4K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…