Simu ipi nitanunua bila kujutia !?

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
329
Reaction score
180
Habari zenu waungwana, mie ni kijana ambae kiukweli tangu nianze kutumia simu sijawahi kumiliki android phone hata siku moja. Na katika kutimiza azma yangu ya kutaka kumilik simu ya namna iyo niliamua kuchanga changa vihela vyangu tangu mwaka jana.
Sasa nimepata shilingi LAKI NANE za kitanzania.NAombeni mnishauri ni simu gani ninunue ambayo kamwe sitajutia hela yangu wala kununua nyingine kwa kipinndi kifupi( namaanisha inayodumu maana ela yangu nimeichanga kuanzia mwaka jana)
NB: iwe ni android style, napendelea brand za galaxy,xperia au htc, picha quality nzuri,internet ya kasi na memory kubwa
ni hayo tu wadau.Nitashuluru sana kwa ushauri wenu
 
Hamna simu ambayo ukinunua KAMWE hautajutia. Sooner or later simu yoyote utakayonunua itakuletea shida tuu penda usipende! Kwa maana nyingine ni kuwa simu huwa hazina guarantee unaweza kuinunua leo kesho ikafa. Na wala usijidanganye kwamba aina fulani ya simu ni imara sana.. Inategemea na wewe utunzaji wako pia. Ila vyovyote itakavyokua usinunue Samsung Galaxy S1, S2 au S3. Ila nimeskia kuna kampuni za insurance siku hizi..
 
mkweli wa mambo chukua hii feature phone hutajutia

Nokia 105

​







[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]GENERAL[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]2G Network[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]GSM 900 / 1800[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]SIM[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Mini-SIM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Announced[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]2013, February[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Status[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Available. Released 2013, May[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]BODY[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Dimensions[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]107 x 44.8 x 14.3 mm, 64 cc (4.21 x 1.76 x 0.56 in)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Weight[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]70 g (2.47 oz)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"][/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]- Flashlight[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]DISPLAY[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Type[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]TFT, 65K colors[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Size[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]128 x 128 pixels, 1.45 inches (~125 ppi pixel density)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]SOUND[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Alert types[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Vibration; Polyphonic[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Loudspeaker[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]3.5mm jack[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Yes[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]MEMORY[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Card slot[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Phonebook[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]500 contacts[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Call records[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Internal[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]8 MB, 384 kB[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]DATA[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]GPRS[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]EDGE[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]WLAN[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Bluetooth[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]USB[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Yes (charging only)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]CAMERA[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"][/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]FEATURES[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Messaging[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]SMS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Browser[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Radio[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]FM radio[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Games[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]GPS[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]No[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Java[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Yes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Colors[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Black, Cyan[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"][/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]- Digital clock
- Calculator
- Calendar
- Converter
- Expense manager[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]BATTERY[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"][/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Li-Ion 800 mAh battery (BL-5CB)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Stand-by[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Up to 840 h[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Talk time[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]Up to 12 h 30 min[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH="bgcolor: #F6F6F6"]MISC[/TH]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]SAR EU[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"]1.48 W/kg (head)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: ttl, bgcolor: #FAFAFA"]Price group[/TD]
[TD="class: nfo, bgcolor: #FAFAFA"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Disclaimer. We can not guarantee that the information on this page is 100% correct. Read more
NOKIA 105 - USER OPINIONS AND REVIEWS


 
Last edited by a moderator:
kwanza tegemea haya kwanza.
1. betry dhaifu ambayo huisha mara kwa mara
2. touch screen, hutahitaji physical qwerty hivyo utahitaji kioo kikubwa

simu hizi zitakufaa kwa bei hio za android

1. sony experia L


ina ram 1gb, internal 8gb, camera 8mp na processor 1ghz dualcore. kioo ni 4.3 inch na inarun jelly bean. hii ndio simu best kwa bei hio.

simu nyengine ni kama
2. galaxy s2 used
3. galaxy grand used
4. galaxy s3 mini
5.acer liquid e2
6. lumia 520
 

Chief, kuna post nimeweka but sikupata response yoyote. Nitumie sehemu kuomba msaada wako. Nahitaji kununua smartphone inayotumia android. My budget ni 250,000-300,000. Naomba nijuze ni gani nitapata good browsing experience.
 
Duh.......!!!! 800K na kitorch wapi na wapi?
Division 5 mnataabu kweli kweli
 
Chief, kuna post nimeweka but sikupata response yoyote. Nitumie sehemu kuomba msaada wako. Nahitaji kununua smartphone inayotumia android. My budget ni 250,000-300,000. Naomba nijuze ni gani nitapata good browsing experience.

kaka better tafuta simu yenye kioo inch 4 kwenda juu.
kama hutojali mchina hata galaxy s4 clone sio mbaya unaitaftia rubber case

kuna simu nyengine kama hz
1. sony experia e
2. sony experia j
3. galaxy s duos
4. galaxy s advance

unapata kwa bei hio. ila browsing inaenda n kioo kikubwa hio ndo iwe factor yako
 
asante chief nimekusoma kwa sana..
ila hapo kwenye galaxy 2 used na galaxy gland used zinapatikana madukani au? au ni zile za mikononi na utazijuaje?
 

Ahsante Chief nitacheki. Vipi unazisemeaje smartphone za tecno. Nilitaka kununua ila nahofia their durability
 
Tafuta Galaxy Note II kwa Android. Hii simu ni nzuri sana kwa Android maana inakaa na chaji. Hutoijutia, ukiijutia mi nakupa ela yako.
 
asante chief nimekusoma kwa sana..
ila hapo kwenye galaxy 2 used na galaxy gland used zinapatikana madukani au? au ni zile za mikononi na utazijuaje?

sijawah ona clone za kichina za s2 na grand japo unatakiwa uwe makini pia.

kuzijua nenda setting kisha about unaangalia no zake

s2 itaandikwa kama I9100
grand itaandikwa I9082

kuzipata ni humu humu mkononi ila galaxy grand unaweza pata mpya kwa laki 5 kama utaongeza hela ni simu nzur kwa mazingira ya africa
 
Aleyn hapo umeongea ukweli hii simu (galaxy note2) ni jiwe la ukweli sana mimi ndyo ninayoitumia sijawahi kupata matatizo hata kidogoo na kuhusu kukaa na chaji hyo ni guarantee toshaa...
 
Ahsante Chief nitacheki. Vipi unazisemeaje smartphone za tecno. Nilitaka kununua ila nahofia their durability

kaka kununua simu ya kichina bei ghali kuliko original ni upuuzi hua kila siku sishauri kununua mchina kuanzia laki 2 labda s4 clone peke yake ndo inadeserve hela mpaka laki 3.

kwa hela yako ukitaka tecno utaambiwa uchukue n7 hii simu utafiiri kioo chake kimefuliwa na blue yakueka kwenye shati kama wewe mpenda kubrowse itakuumiza kabisa.

huawei ascend y 300 ina specs sawa na tecno n7 yani processor ya 1ghz dualcore, ram 512, kioo inch 4 lakini hii y300 bei ni rahisi zaidi ni bora ununue hii.
 
Umechanga hela muda sana ndg yng,nunua huawei y300 or techno chini ya laki 2 ,then inayobaki nunua unaweza jinunulia ka laptop kazuri tu, ukaingia vizuri kwny ulimwengu wa technologia very cheap!,but huo ni ushauri ila kwa pesa yako unaweza nunua s4 na experia hizo za hatari!
 

Kama hutojali,kama wengine walivyoshauri, waweza tafuta Huawei Y300, ni nzuri na nimewahi itumia. Kama utapenda ku spend hela yako yote kwenye simu,jua kbs simu zina mapungufu. Mimi natumia Xperia T LTE, nzr sana,inacheza HD videos supported by Bravia engine, ina kamera ya 13MP, ina 16GB, 1GB RAM, JB 4.1.2, 1.5Ghz dual core,unaweza pata simu hii na ukabakiza laki 2 kwenye hela yako,mapungufu niliyoyaona hadi sasa, BETRI basi.
 

Mkuu,huwei p6 unashaurije? Nilikuwa nafikiria kuiagizia china wiki ijayo.
 
Tafuta Galaxy Note II kwa Android. Hii simu ni nzuri sana kwa Android maana inakaa na chaji. Hutoijutia, ukiijutia mi nakupa ela yako.
Mkuu hii naweza nikaipata kwa shilingi ngapi Dukani au mkononi kwa mtu..?
 

Mkuu mbona kwa akiba aliyojikusanyia (laki nane) anapata galaxy s2 mpya, na sio used kama ulivosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…