Simu ipi ni nzuri?

mkuu mimi nina iphone 6s ila,maajabu network shida,nikiwa ofisini network ni shida,kabisa,mpk nitoke nje,ndo ishike 3g,,na niko,mjini.shida,inaeza,kua,ni nn
wenzako hapo ofisini hawapati tatizo kama lako? umejaribu kubadili line?

simu zilizotengenezwa kwa alluminium kote (unibody) huwa uwezo wake wa kushika network ni mdogo. hizo papi za plastic za nyuma ndio pekee zinazopitisha network.
 
ni week tu nimerenew line ya voda..ninayo pia lumia 920 iko vizur sana haisumbui popote..
 
wenzako hapo ofisini hawapati tatizo kama lako? umejaribu kubadili line?

simu zilizotengenezwa kwa alluminium kote (unibody) huwa uwezo wake wa kushika network ni mdogo. hizo papi za plastic za nyuma ndio pekee zinazopitisha network.

mkuu nimetoa cover la simu loo!3g imekamata baada ya sekunde kadhaa..naona kavaa lilikua linazuia kama ulivotoa maeleze sehemu zinazowezesha network kukamata...asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…