Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

Simu Ipi Bora Kati ya Simu za Tecno, Huawei na Simu za iTel..?

  • Tecno

    Votes: 8 25.0%
  • Huawei

    Votes: 22 68.8%
  • iTel

    Votes: 2 6.3%

  • Total voters
    32

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Habari wana JF, Najua hili ni swali la watu wengi sana, lakini ningependa, kujua ni simu gani bora kwako kati ya simu za Tecno, Huawei au simu za iTel. Ningependa kujua kwa kuchagua hapo juu, pia tukipata sababu ni kwanini pia itakuwa vizuri na itawasaidia watu wengine leo hata au hata hapo baadae.
 
Huawei ni bora kuliko tecno na itel ni brand ya tecno yenye ubora dhaifu kwa ajili ya watu wanaoingia kny simu janja.
 
TECNO.....MTK
HUAWEI.....QUALCOMM
ITEL....SPD

watu wa software wamenielewa vizuri, ni chip gani iko strong zaidi ya hiyo wanayoitumia Tecno
So tofauti za processor what else is best kwenye simu hizo and please cast your vote.
 
Kwanini Huawei ni bora kaka.. Kama hutojali.
First nimeshatumia huawei na techno pia

Huawei inadumu zaidi ya techno

Interms of price : Techno yaweza kuwa na specification kubwa sana compare to huawei lakini bei yake ikawa ya chini ukilinganisha na huawei with the same specifacation
But life span ya techno is at ur own risk

Itel weka pembeni kwanza
 
As you use any smartphone always its processing speed goes in decrease so the rate ya Techno pia ni kubwa kulunganisha na Huawei

Namaanisha kustack stack
 
Well Said! Thanks please vote too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…